Jerry Muro: Nipo Tayari kurudi ITV Hata Usiku wa Manane

Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro
Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi ni sehemu bora na kituo bora kabisa.
Majuto mjukuu!

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushakosa mvuto hata ukirudi huna kipya Bwashee,endelea kuitetea yanga jina na kuponda mikataba ya kina Ngasa,mwenzio anadai we eti oooh yanga haidaiwi naye umeumbuka na jamaa wanamlipa hela yake.,bado wewe kudhurumiwa sass na yanga ushajua ndo mana unaomna kibarua itv kiaina.,kauze duka Bwashee......mkong'oto jazband.....

    ReplyDelete
  2. Kwaufahamu wangu aliondoka itv kwenda tbc kufata maslahi kwa sababu tbc ni taasisi ya serikari kuna fulsa nyingi

    ReplyDelete
  3. Kwaufahamu wangu aliondoka itv kwenda tbc kufata maslahi kwa sababu tbc ni taasisi ya serikari kuna fulsa nyingi

    ReplyDelete
  4. Kwaufahamu wangu aliondoka itv kwenda tbc kufata maslahi kwa sababu tbc ni taasisi ya serikari kuna fulsa nyingi

    ReplyDelete
  5. Msema kweli daima hapendwi pigana kaka utatoka tu...msema kwel ni mpenz wa mungu na adui kwa wanadam

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad