Kajala:Acheni Akili za Kijinga Mavazi yangu Haya Haribu Tabia ya Mtoto Wangu, Kama Ataaribika kwa Kuniona Nimevaa Tumbo Wazi Basi ni Mbumbu

Udaku Special-Kajala ameshindwa Kujizuia na kuamua kuwashukia wale wote wanaosema anamwaribu mtoto wake kwa Mavazi anayovaa...Soma alichoandika hapa chini:



"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake kama nakuboa usipite hapa tafadhali".

Kajala aliandika na kutupia picha hiyo juu mtandaoni.

Je Wewe Unamaoni Gani?
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nadhani Kajala anajaribu sana tena sana kuwafikia wale Models mbali mbali wa hapa Africa na kwingineko. Anajaribu sana kuona kama vitu mbalimbali anavyovipigilia, yaani Fashion Catalogs vinaweza kumweka hapo juu kama ma Model wengine wa hapa Africa. Lakini kitu kinachomuangusha ni ule ubunifu wa namna ya kuvipangilia vitu vya uhakika na pia hiyo shepu yake. Ni kwamba ni mnene kidogo sasa hiyo itampa shida sana kuweza kuwafikia wale Models mbalimbali wanao hit hapa Africa na kwa kweli ukita kujua ukweli wa ninachokisema jaribu kuzitembelea IGs "nollywoodglamour" na "the_stunningandelegant" hapo utahakikisha kile ninachokisema. Kajala ili aweze kufika huko inabidi amkodishe au hata kumwajiri PERSONAL STYLIST ili aweze kumsaidia na namna ya kuvipangilia vitu na pia ajaribu kuwa na PERSONAL TRAINER wa kumsaidia ku loose hiyo weight kidogo ama aende GYM kwa sanaaaaaaa.......

    ReplyDelete
  2. FAILURE is not FALLING DOWN, but REFUSING to GET UP.

    ReplyDelete
  3. FAILURE is not FALLING DOWN, but REFUSING to GET UP.

    ReplyDelete
  4. Mtoto wa nyka ni nyoka tu na mtoto umleavyo ndivyo akuvyo! unadhani mtoto asipofata nyayo za mama ake ambae ni wewe amfate nani,ikifika mda wake wa kwenda tumbo na mgongo waze usije kulalamika,chekelea tu hivyo hivyo,hudani km ataharibika kwa tabia zako muono wako ww binafsi ni finyu,huangalii mbali unaangai hapo ulipo na huo ndio ujinga wa hali wa juu unaoufanya......Kaa fikiria,wanaokwambia hawakuonei wivu ia wanakuoneaga huruma.....MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TU WALA HAJ KUBADILIKA KUWA KONDOOO.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilifikiri Kajala ni msomi kumbe siyo. Hajui ni wapi pa kutumia herufi "l" na "r". Tafadhali Kajala usiseme " kumualibu". Kiswahili safi ni " kumharibu". Makosa kama hayo ni mengi kwa waimbaji na hao wanaojiita wasanii au mastaa.

      Delete
    2. KAMA SWALA NI MAVAZI BASI WATOTO WA KIISILAMU WANGEKUWA HAWAARIBIKI MAANA WENGI WAO MAMA ZAO HUJIFUNIKA MWILI MZIMA LAKINI WATOTO WAO WANARIBIKA VILE VILE. KAJALA USKONDE ACHANA NAO!!

      Delete
  5. nani alikwambia mavazi ya mama yanahalibu mtoto ingekua hivo watoto wa wachungaji au walokole ama waislam wasingekua makahaba wakutupa kwa sababu wazazi wao hujistili kupita maelezo lakini wapi.....so kajala endelea na maisha yakO MUNGU nso mlezi watoto hakuna binadamu anaejua kulea mtt.....!

    ReplyDelete
  6. WEWE USEMA KWELI TUNAONA WATOTO WA VIONGOZI WA DINI ZOTE WANAVYOHARIBIKA SIO KWA MAVAZI NA MADAWA WANATUMIA. KAJALA USIKONDE HAO WOTE WANAOPIGA KELELE WATOTO WAO WAKOJE??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad