Kijana Ajiua kwa Kujinyonga Baada ya Matokeo ya Kidato cha nne Kumjia Vibaya.

Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la John Maduhu wa kijiji cha Pandagichiza, wilaya ya Shinyanga vijijini amekatisha maisha yake kwa kuamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne kumjia vibaya...



My Take:
Yapaswa kuwepo utaratibu wa kuwaandaa watoto kisaikolojia ili wayakubali matokeo na kutafuta mbinu za kurekebisha penye udhaifu ama kuwaweka tayari kwa Plan B kama Masomo yakigoma.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waalimu toeni mitihani inayowaandaa wanafunzi kwa mitihani wa NECTA munatunga mitihani rahisi kuwaandaa kwa mitihani migumu ya NECTA wengine hamsahihishi kazi za wanafunzi CA munazopeleka NECTA haziwiani na mitihani wa NECTA acheni ubabaishaji munawaua wanafunzi

    ReplyDelete
  2. Inawezekana unachokisema ni kweli, ila Mimi sitaki kuwatupia lawama walimu moja kwa moja. Kujinyonga ni roho ya kishetani! Angekubali ule msemo "ASIYEKULI KUSHINDWA SI MSHINDANI" wala hata yote yasingemkuta. Adolf Hitler mwenyewe licha ya kuwa dictator, alipoulizwa ni kitu gan anaogopa dunia, alijibu 'An examination room' kumaanisha chumba cha mtihani tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad