Mastaa wa Kike wa Kibongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili yao kwa Mapedeshee ili Wapate Magari na Majumba ya Kuhongwa:Isabela


Udaku Special Blog: Mwendelezo wa Mastaa wa Kike Kufunguka na leo unaendelea , baada ya jana Mrembo Lungi kufunguka na kukiri kuwahi kubeba unga na kuwauza wasichana wenzake kwa wanaume leo ameibuka Isabela Mpanda ambae ni staa upande wa urembo na mziki na kusema Mastaa wengi wa kike Bongo wanategemea Kuuza Miili yao kwa Wanaume na kuhongwa majumba na magari wanayotembelea , Amesema si kweli kwamba sanaa inalipa kiasi hicho cha kuwa na majumba ya Mabilion na magari ya hela nyingi ...

Je kuna Ukweli Juu ya Helo ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad