Matokeo Form Four: Shule 10 Bora kwa Ufaulu na Shule 10 za Mwisho ziko hapa

Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 10 ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2013.



Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu, Dkt Msonde amesema shule hizo ni:

  • Kaizirege mkoa wa Kagera
  • Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
  • Marian Boys mkoa wa Pwani
  • St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
  • Abbey mkoa wa Mtwara
  • Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
  • Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
  • Marian Girls mkoa wa Pwani
  • Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

  • Shule 10 za mwisho ni:
  • Manolo mkoa wa Tanga
  • Chokocho mkoa wa Pemba
  • Kwalugulu mkoa wa Tanga
  • Relini mkoa wa Dar es salaam
  • Mashindei mkoa wa Tanga
  • Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
  • Vudee mkoa wa Kilimanjaro
  • Mnazi mkoa wa Tanga
  • Ruhembe mkoa wa Morogoro
  • Magoma mkoa wa Tanga.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shule Kumi za kwanza majina ya shule tu mazuri kwanini wanafunzi wasifauli angalia shule kumi za mwisho majina yake mfano kwa lugulu magoma wanafunzi

    ReplyDelete
  2. Utofauti wa shule za kata na binafsi

    ReplyDelete
  3. Ufaulu unaongezeka baada ya kupanua goli? Aibu hii hadi lini!

    ReplyDelete
  4. Tanga kunani jamani mbona shule nyingi ziko mkiani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad