Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!
Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond Platnumz.
Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake wa pili (zarithebosslady_) kuelezea alivyosikitishwa na kauli ya Wema kwenye picha yake (Zari) isemayo ‘mimba my foot’.
Kwa mujibu wa urbandictionary.com msemo ‘my foot’ humaanisha: An exclamation that means that one believes the previous speaker’s statement to be untrue
Mrembo huyo wa Uganda anayetarajia kumzalia Diamond mtoto wake wa kwanza, aliipost picha hiyo na kuifuta tena baadaye na kuandika:
"Astagafululah! May God Protect Zarimond and chibu junior #zaritlale #chibujunior #zarihassan #chibudangote"
"Mimba My Foot"... Mashabiki wa Zari (Mpenzi wa Diamond ) Wamvaa Wema Sepetu baada ya kukejeli Mimba Yake
12
February 09, 2015
Tags
Hahahah Sepetungaa utaumwa na dawa hakunaaa. Ukisema wa nn wenzako wanajiuliza watampata lini..Utabaki kudinywa na kila kidume chenye hamu na pozeo. At the end of the day utabaki kuhaha. We si uliwahi kuropoka kuwa Zari ni shoga ako? Sasa mbona anakutoa usingizi?? Katulia na Dangote. Ww katika kipindi kifupi ushadinywa na wangapi?? Mm naomba sana kama si King Lawrence basi Ivan wakudinye na kukurekodi.Dunia ione makalio yako yaliyotepeta na kuchoka kwa kukanywagwa na wajanja. Malaya mchafu weeee.Ushaambiwa pampucha lime noki bado unawakaribisha watu walikojoleee.Unawatia shombo.
ReplyDeleteww fara sasa akidinywa ww inakuuma nini kwani k akaazima ya mama yako yanakutoka tu hapo ulipo unatamani uwe kama yeye nyoo unafikiri hayo unayoyaandika wema anayasoma
DeleteTamaa nyingi mbele jizaa na alijiaminiya saana anajuwa na bwaga ata enda kwa penny ama joketi kumbe mwenzake turufu siyo karasa .karasa kamuachiya nalo nkononi yeye kaondoka na turufu
ReplyDeleteThat photo is fake so do ur research well Mr Udaku. Team Zari
ReplyDeleteYani nyie Udaku hamna akili. Serious that pix imetengenezwa afu ndo mnajifanya ni real. Ili mradi tu mumchafue Wema na watu wapate chance ya kumtukana Wema. Shame on you
ReplyDeleteWatu mnaomtukana wema mi nawaona wajinga tu utamtukanaje mtu ht hana time na wewe?km sio ujinga ni nini?mmekosa kazi tafuteni kazi mfanye harafu uzuri wa wema ht hawajibu kwa hivyo mnaonekana wajinga nyie mmeisha ambiwa kuwa anafanya video na ommy bado matusi tu nyie hamuoni sehemu waliyopigia picha ni sehemu ile ile kuweni wastaarabu matusi hayasaidii mtandaoni
ReplyDeleteNa wewe tafuta mwalimu akufundishe tofauti ya Halafu na Harafu" pumbavu we
DeleteWema angetulia tu afanye mengine,umri nao unamtupa mkono amekalia ujinga tu na kulipa kina dougiemasta watukane watu. Kama haumizwi na uhusiano wa Chibu na Zari aonyeshe kwa vitendo sio anajifanya yuko poa kumbe moyoni anaumia
ReplyDeleteAnonymous 10:06 Mbona jibu unalo? Sepetunga kaazima K**a ya mama ako ww na mku**ndu wa baba ko. Ndio maana watu wanaogopa vitanoki injin kama vya Wema. Ma*a ako mfyyyuuu. Na ww tafuta wa kukut**mba mku**ndu wako uliopoteza elastic kama wa Wema. Halafu tafuta mwalimu wa kukufundisha fara na fala. Umetoka kwenu kijijini unajiita timu wema. Pumbafff
ReplyDeleteGO WEMA, GO WEMA, MPAKA KIJULIKANE
ReplyDeleteTimu wema fyxuuuuuu washenzi nyie..eti maada,maadam na bado mtamwita bibi muda si mrefu tu.....
ReplyDeletewema pole wewe mwenyewe ndo ulimwacha diamond ukasema mpeane nafasi sasa mbona unahangaika sanaa jamani. mpe baraka zako diamond kwa zari sasa wewe ulitegemea akae anakusubiri wewe? kwanza tuambie ile BMW ulipewa na nani??
ReplyDelete