Mrembo Zari wa Diamond Aonyesha Mwili Wake Akiwa Ndani ya Bikini Wakati huu wa Ujauzito

Udaku Special Blog
Mrembo Zari wa Uganda Ambae sasa ni le Mbebiz wa Mwanamuziki Diamond Ameweka Picha Akiwa ndani ya Bikini na kuonyesha mwili wake wakati huu akiwa mjamzito wa Miezi Kadhaa..

Hit or Miss?
Tags

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu kibibi nae Malaya mzee kutwa kukaa beach,Diamond nae maskini wa ufahamu akipendwa na demu ye anabeba yupo km wema ndo mama mademu zake wote Malaya mtu anawatoto wanne cjui bado kazibwa macho,ndo mama mademu wote wanamuacha yeye,kajua mademu ukubwani..

    ReplyDelete
    Replies
    1. we inakuuma nn. wabongo bwana unapangia watu maisha.small minds always discusses people ndo ww

      Delete
    2. Pisha huko weweeeee!Na uwaache walale.

      Delete
    3. ana lolote wivu umemjaa mpaka kwenye kope

      Delete
    4. Wee anonymous 10:40.Acha upumbavu. Mbwa koko wee. Kwani mtu akienda beach ndio malaya?? What about yule aliekaa nusu uchi na kina King Lawrence au aliedhihirishia dunia kuwa anadingwa na Ommy?? Yule utamwita Maria Theresa? Kanye kuleeee.Uso umekuporomoka kama K**a ya Wema.Mfuuuu

      Delete
    5. ww k ya wema unaijua au yanakutoka tu kama unaharisha mbwa mwenyewe k ya wema au ya mama yako



      Delete
    6. Ukimwita Zari bibi kizee na yule mistari a.k.a michirizi a.ka. public toilet utamwitaje. Akili mbovu kama pampucha ya Wema isiyoweza kulala bila kusuguliwa. Akikosa mtu ana dinywa na kale kambwa kake. kale kengine kalishindwa kaamua kulala mbele. chezea pampucha isiyo na elestic wewee

      Delete
  2. alafu hiyo sio bikini jamani,uliza kabla hujapost habari zako!!!hata wewe du!!!!!!!!!
    hapo spool ni normal kuvaa hivyo

    ReplyDelete
  3. Aina mbaaaya maadili yazingatiwe wadau.....,afu kila mmoja ajilie vyake alivyoahidiea navyo.....,mtandao bwana...

    ReplyDelete
  4. DOMO LIMBUKENI WA WANAWAKE SASA HAPO ANAJIONA KIDUME KISA DEMU ANAMIMBA HAJUI YAKWAKE AU YA IVAN.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HACHA WIVU WAKO MANENO YAKO YANAONYESHA WIVU MTUPU

      Delete
  5. Hivi huyo ajuza ndo wa kwanza kushika mimba? mbonakelele nyiiingi kama jambo la ajabu saaana, mwambieni Nassebu arudi shule kwanza kiki zitamfikisha pabaya.

    ReplyDelete
  6. anajidahidi kumuonyesha Wema kama anamimba ya chibu, analazimisha mapenzi yanguvu hajui akisha zaa atatfutiwa bonge la uongo atimuliwe, hamjui chibu kwa umalaya

    ReplyDelete
  7. KASHINDWA KUISHI NA MWANAUME ALOMZALIA WATOTO 3. ATAMUWEZA DOMO? YE AFYATUE TUU ALAFU ASUBIRI KAMA ATAWEKWA NDANI MTU MWENYEWE 41+

    ReplyDelete
  8. shangai zari anajitahidi aonekane anajua kupenda, yetu macho amuulize Penny.

    ReplyDelete
  9. sasa bi ajuza atarudi kwenye uislamu? maana alitiwa maji meengi ya ubatizo.

    ReplyDelete
  10. Waacheni wale maisha mala zari mbaya ma wema mbaya au mnamuonea gere D


    ReplyDelete
  11. wa kumuonea gere D ni nani? ebu kawaulize waganda kwanza jinsi chapu ya bi kizee anavyotumika na walisha mtaadharisha kama upo usingizini amka.

    ReplyDelete
  12. Wema mzuri kwa roho hata umbile, wanaomtukana ni team Sinta, huyo shangazi zari azae tu atakiona baadae.

    ReplyDelete
  13. Ninyi nyote mnaoponda mama zenu waliachika, na wakaolewa tena wengine wameolewa na vinajana wenye umri mdogo.Hebu angalia kwenye familia yako, wawili wanajaribu kuwaonyesha mapenzi ni nini wengi mlio ponda hamjui mapenzi au hamjaona wawili waliopendana sasa jifunzeni kwao wala msione aibu.

    ReplyDelete
  14. jifunze wewe kwanza, naona babu na bibi yako waliachika. kicha bibi yako akamchukua serengeti boy kama Domo. nyang`aau wee

    ReplyDelete
  15. HATA MAMA YAKO ALIACHIKA KISA UFUSKA WA KUPENDA NDOGO NDOGO! UPO

    ReplyDelete
  16. kwa kweli ZARI ni mzuri na ni gold. Je? ungebahatika kukutana naye ungemkataa kwa sababu ana watoto 3. A C H E N I W I V U

    ReplyDelete
  17. YAANI MAVIFU MATUPU MNAONYESHA KWA DIAMOND. MIMI NAKUMABIA DIAMOND WANA WIVUU HAOOOOOOO WACHONGANISHI HAOOOOOO ULIIMBA KWELI KABISA. KAZA BUTI MTUZE ZARI AKUZALIE MTOTO. MAPENZI HAYAJALI UMRI NI NAMBA TU ALIJISEMEA MAREHEMU ALIYA... KULA 5 DIAMOND. MWAMBIE ZARI ASISOME HAYA MAUDAKU ATAPATA STRESS BURE MIMBA ITOKE WAFURAHI UNADHANI NIA YAO NINI? take care chibu!!!

    ReplyDelete
  18. mimi ningekuwa zari nisinge beba mimba walanini, tayali watoto3 nataka nini nisingeweza kuzaa mtt mwingine nje akawa na baba mwingine natia dowa wtt wangu.

    ReplyDelete
  19. kwan zari anamiaka mingap/

    ReplyDelete
    Replies
    1. AGE IS NOTHING JUST A NUMBER!!!

      Delete
  20. MWACHEI AZAE KAMOJA NA DOMO APATE MTOTO MAANA WANAWAKE WOTE WALISHINDWA KUMZALIA. DIAMOND HONGERA SANA. MIYE NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUJALIE KATOTO KAZALIWE SALAMA!!!

    ReplyDelete
  21. anaonekana anavutia,anak tamu nini? ila umri sio tatizo kama wamematch kila baraka ni zao

    ReplyDelete
  22. OMG kwa mila na desturi za watanzania na kwa dini ya kiislaam alivyojiachia kwa kuvaa hivyo I must say shame on her na wanaomsuporti wooote ni mbululazi. Nini maana ya kuvaa baibui wakati kumbe mnakubaliana na kukaa nusu uchi?? Msipende ku support ujinga

    ReplyDelete
  23. Ukwei Diamond watu mashindwa kujua kuwa HE IS A LOOSER yoote anayofanya kuposit picha za Zari mara hivi Mara vile ni kwa sababu ya mishauo tu !! Hakuna lolote nawaombeni myafumbie macho mashauzi yake angetamba na kudai kwamba age is just a number nakubaliana na hilo swali tujiulize wale watoto wa Zari tena kwa umri walionao tujiulize Diamond na ni wa kuweza kutambia huyo mama?? The answer is big NO

    ReplyDelete
  24. WIVU WAKO TU HAKUNA TATIZO HAPO

    ReplyDelete
  25. Kila mtu ana maisha yake hakuna aja ya kufuatiliana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad