Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo


 Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo anakabiliwa na kesi ya........
mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama Mcharo!!!!

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyie nao mmekosa habari demu mwenyewe wa kawaida saaaaana bana mbona kuna wadada wazuri kuna akina vanessa mwalla, culiva robin, tasha gal, ascala ahmed warembo zaidi yake mxiiewwww tutoleeni hapa utamu anaujua anaegawa k yake kwake sijaona bado

    ReplyDelete
  2. sioni la zaidi!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sure. Make up zinamsaidia hana jipya

      Delete
  3. ADMIN SIONI HABARI HAPA!!!!!

    ReplyDelete
  4. Hanà jipya mbirikimo

    ReplyDelete
  5. Mbona wa kawaida sana jamani?supertar uchwara wala hatujui afanyaro kwenye jamii yetu zaidi kila siku kuandikwa kwenye media kwa mambo ya kijinga.huku uswahilini kuna watoto wakali kinyama yani kwa lulu wala

    ReplyDelete
  6. Usirudie kumuweka huyo muuaji! Alituulia kanumba wetu!

    ReplyDelete
  7. Hahaaaaaaaa!!!! Kashotiiiii! Luluuu

    ReplyDelete
  8. MMEKOSA CHA KUWEKA ??????????

    ReplyDelete
  9. Mbona kama ka.mdoll?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad