Mwanasheria Mkuu Asema Serikali Haina Dini Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislam wenyewe

Udaku Special:Akizungumza kupitia taarifa ya habari Itv Mwanasheria Mkuu ametangaza Rasmi kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislamu Wenyewe.



Amesema kuwa Serikali haina Dini na Kamwe haitajihusisha na maswala ya imani za Kidini.

Mwanasheria pia amesema kuwa Mahakama hiyo ilishakuwepo na ilikuwa ikihudumiwa na Waislamu wenyewe.

Hii ni Habari njema sana kwa wale wote ambao walikuwa wanajisikia vibaya kugharamia Dini isiyokuwa yao.

Naipongeza sana Serikali kwa kuamua hivyo.

Mungu ibariki
Tanzania.
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nadhani umishindwa kuelewa kodi za waislam ambao Ni almost 60% ya watanzania ndio tunataka zitumeki ktk kufund mahakama ya kadhi badala ya kulipia ktk kufund kuwepo kwa Vatican ambassador in tanzania ambao Ni ukriso inaolipiwa na waislam, serikali inatingisha kibiriti kuona kama bado wanaouzo wa kuwaburuza waislam Ni hii Ni hata ri kwa dunia ya leo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pol. U'll come to see it biting ur back!

      Delete
    2. nani kakuambia ni almost 60% ya watanzania? halafu hiyo mahakama yenu itahukumu nini? maana maana serikali haitaruhusu watu wapigwe mawe..

      Delete
  2. Kuchanganya dini na siasa matokeo yake ni vita. big up tz government, no dini

    ReplyDelete
  3. DINI +SIASA= VITA

    ReplyDelete
  4. JAMANI MNATAKA KUHARIBU UTAIFA WETU?? MAMBO YA DINI MSIYAINGIZE KABISA MAANA VITA YAKE HAIISHI. ANGALIENI IRAQ, LIBYA, LEBANONI, PALESTINA, ISRAEL, NA KUNGINEKO JAMANI MAHAKAMA YA KADHI ISIINGIZWE KABISA SERIKALI.

    ReplyDelete
  5. mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.
    HAPO SIO KUCHANGANYA DINI NA GOVERNMET ?
    ILA KWA WAISLAM NDIO KUCHANGANYA DINI NA GOVERNMENT?
    KUMBE GOVERNMENT NI KANISA NA KANISA NI GOVERNMENT!!!!!
    KISHA OHHH GOVERNMENT HAINA DINI KUMBE INA DINI NA DINI YA GOVERNMENT NI KANISA

    ReplyDelete
  6. Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

    Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.
    HAPO SIO KUCHANGANYA DINI KUWAPA MAKANISA MABILIONI ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE NAWE UNA HAKIKA NA UCHOSEMA???

      Delete
  7. jamani mahakama ya kadhi noooo. hizo hela wewe umesema zinaenda kwenye huduma za jamii na afya hazibagui mtu yo yo te anatibiwa ila mahakama ya kazi ni yenu wenyewe wengine haiwahusu. hamjakatazwa fungue wenyewe huko hakuna mtu atakaye wauliza ila msilazimishe itambulike kisheria .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad