Mwasiti amkana Misago, ni baada ya Diamond kumuita ‘muke halali ya Sam Misago

Udaku Special Blog: Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz jana kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago.



Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.

Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago.

“Diamond mbona ameniweza,” Mwasiti ameiambia Bongo5. “Sikushangaa yeye kuniwish lakini nimeshangaa response ya watu. In short mimi sijaolewa. Yule (Misago) sio boyfriend wangu, mimi yule ni rafiki yangu, hakuna kitu chochote kinachoendelea. Sam mimi namjua muda mrefu sana, sijawahi kusema mahusiano yangu yoyote lakini nikiolewa nitasema,” ameongeza.

Sijui Nasib kayatoa wapi haya mambo. Sam sio mwanaume wa kukupa aibu yupo kama wanaume wengine, yule na mimi naamini ana girlfriend wake na mimi na boyfriend wangu, kwahiyo sielewi Nasib kwakweli yaani hili suala limeleta mtikisiko. Nimepigiwa na watu wengi sana. Lakini ukweli ni kuna vitu havifichiki ukivifanya lazima watu watajua tu.”
~Bongo5
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amkane, asimkane. Awe na boyfriend asiwe nae sisi haituhusu kitu. Haya ni maisha yake. Sijui yule ni rafiki yangu ooh sijui mimi sijaolewa sisi inatuhusu nini. Shika jembe kalime acha mambo ya kipumbavu na huyo Domo wako ambaye akili yake yote ni wanawake na hana lolote jipya zaidi ya kwenda na kumparamia mwanamke mzee mwenye watoto watatu na kumpatia mimba akiwa katika umri wa miaka 40.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu tuu umekujaa ulitaka domo akuparamie wewe wakati ni shoga?

      Delete
  2. hey admin,i need help,im looking for a valid street adress yakusign up kwa paypal.anyone who can just write it down for me.thanks

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad