Mwigizaji Amanda Mwenye Shape Matata Aanika siri Nzito ya Kutowapenda Wanaume

MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi amefunguka na kueleza siri nzito kuwa hawapendi wanaume kutokana na kufiwa na
mchumba wake muda mfupi baada ya kuzungumza naye miaka…iliyopita.

Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema stori ya mwanaume ambaye alikuwa ni mchanganyiko wa Mgiriki na Mbongo aliyejulikana kwa jina la Alan kila akiikumbuka huwa inamuumiza  moyoni kwani ni mwanaume aliyekuwa na mapenzi ya dhati.

“Huwa naumia sana nikimkumbuka Alan mchumba ambaye alikuwa ameshajitambulisha kwetu lakini akafariki kwa ajali nusu saa baada ya kuzungumza naye kwenye simu akiwa Ugiriki huku akiniachia ujauzito wa miezi mitano lakini ilipofika miezi saba mtoto alifia tumboni. “Tangu hapo sipendi wanaume na sijawahi kumpata mwanaume mwenye upendo wa dhati kama huyo,” alisema Amanda.
GPL

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio unaumia ukimkumbuka shombe Wako,sema huna soko tena kwetu wanaume we kilichobaki watu wanaeat and run ndo mana unamind unaishia kuponda,wanaume unawachukia olewa na tango basi ukishindwa jicarrot tu,mapaja nachafuuu mabaka kibao wenye mvuto hawajitembezi uchi km wewe.....

    ReplyDelete
  2. Hana lolote huyu naye, ameshajiuza amechoka sasa anaongea nini. We si uliolewa ukaachika wewe? sasa mambo ya mchumba yanakujaje. Huna jipyaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad