Mwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page yake na Kusema Haya
5
February 06, 2015
Udaku Special Blog: Mwigizaji Maarufu Barani Afrika Van Vicker Kutoka Ghana Jana kwenye Page ya Instragram Alipost Picha Akiwa amepiga na Mrembo mwigizaji Lulu Michael Kama Ishara ya Kumkumbuka na Kumzimikia ...Katika Picha hiyo aliandika Maneno haya :
“My 1st ever throwBackThrusday post... with @officiallulumichael I remember some of my Tanzania peeps at this point shouts to @wemasepetu @irenepaul001 @petitman_wakuache @ramseyhashim”- Van Vicker aliandika kama aelezo ya picha hiyo juu.
Tags
mmm jamani lugha tuandikie kwa lugha adhimu ya kiswahili
ReplyDeleteudaku wadakuuuu kha!
ReplyDeletePoa tuuu. Lulu kwa mstaarabu hakukaa kinyegenyege kama Sepetunga. Maana alienda kwa gear Van Vicker ataishia CK style. Hell NO.Hahah. Karudi kimya kimya. Sasa anajaribu kwa Ommy Dimpoz. Mchafu alieshindikana. Kidagaa kimemuozea mkononi kapaukaaaaaa
ReplyDeleteWeye anony:7:14 kama wema alikuibia bwana shauri stop hating haikusaidii wema hakujui mtoto anadunda tu kama vipi tafuta ndimu ulame mfyuuuu.
ReplyDeleteNdimu sitafuti na messege umeisoma live. Deep down unajua Wema ni kurubembe. Hell No as a man hawezi kuniibia bwana. Nikimtaka namvuruga kwa mkopo Dai style. Kajambe kuleee au nenda kwa malaya mwenzio sepetunga. Usisahau kumwambia she stinks. Pumbaffff
ReplyDelete