Mwimbaji Flora Mbasha Ajifungua Mtoto, Hongera Sana

Udaku Special:Habari tulizozipata kupitia mitandaoni ni kuwa Mwanamuziki Flora Mbasha Amejifungua mtoto , Bado hatujaweza kujua ni mtoto gani, Picha akiwa Hospitali na zingine zikimuonyesha mtoto hizi Hapa:




Hongera Sana Flora Mbasha

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. hongera dada mungu akupe afya njema pamoja na mtoto

    ReplyDelete
  3. HONGERA SANA DADA FLORA MTOTO MZURI KWELI

    ReplyDelete
  4. WA MBASHA AU GWAJIMA??

    ReplyDelete
  5. mh anonymous hapo juu umeniziba mdomo
    simply wa Gwajima na ndo maana alikuwa anatafuta njia zote aachane na mbasha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unadhani siku hizi kuna mtu kubambikiwa mtoto?
      Maujuzi yako kiganjani mdau,Mbasha anajua kabisa kuwa mtoto ni wake,vinginevyo angekuwa kashapiga kelele na kumtangaza Flora kwenye vyombo vya habari.Hata hivyo tusubiri tu tutasikia,na ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe!

      Delete
    2. Huyo mtoto niwambasha anaonekana kabisaaaaa maana gwajma ni mweusi tiiiii na flora ni mweupe ila weupe wake sio kama wa huyo mtoto. Weupe wa huyo mtoto niwakama mbasha mwenyewe

      Delete
  6. Huyo mtoto niwambasha anaonekana kabisaaaaa maana gwajma ni mweusi tiiiii na flora ni mweupe ila weupe wake sio kama wa huyo mtoto. Weupe wa huyo mtoto niwakama mbasha mwenyewe

    ReplyDelete
  7. Awe tu ni wa Mbasha jamani. Yaani isiwe ni weupe wa utoto tu awe mweupe kama baba yake. Hivi matatizo yao yalianza kipindi gani mwaka jana? I hope aliondoka na mimba changa kwa Mbasha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad