Nape Nauye Amkubali Edward Lowassa kwa Utekelezaji

Katika kipindi cha asubuhi hii cha clouds360 Nape Mosses Nnauye amekiri haya "CCM ni chama chenye document nyingi zaidi lakini hakina utekelezaji".


Tafsiri ya Maneno haya ni sawa na ya Edward Lowassa aliyoyasema katika bunge kwa serikali ina uzito wa utekelezaji wa walio kubaliana yaani maamuzi.

Hivyo Nape Nnauye ni mhubiri wa siasa za Maamuzi Magumu ambazo kwa sasa zinaongozwa na Edward Lowassa lakini tatizo tuu ni kiburi chake cha kukimbia kivuli chake.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo ndiye rais

    ReplyDelete
  2. Rais wa mamayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. mama yangu amefariki mwaka 2000 hawezi kuwa rais wake.. huyu ni rais wa tanzania kuanzia october 2015

      Delete
  3. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUANZIA OCTOBER 2015

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad