Nimefanya Mapenzi na Housegirl Wetu, Sasa Anataka Zamu Sawa na Mke Wangu

Udaku Special Blog: Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home wakati mke wangu akiwa kazini.



Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee, hali ikiendelea hivi Wife Atajua ..Ushauri Tafadhali

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ana magonjwa huyo housegirl nenda kapime

    ReplyDelete
  2. acha michepuko isiyo ya lazima huyo binti wewe kakaushinda akili au ndo tamaaa nawewe tena usipo angalia atakupanda kichwani na heshima itapunguo kiasi cha kukupangia masaaa ya kazi,pole lakini ka mambo ya kujitakia mwenyewe na tamaa za kijinga kama umeweza kulala na huyo binti sasa bado kiddogo kumlala hata shemeji yako kwa tamaa zako za kimwili

    ReplyDelete
  3. acha ufala bwege wewe. umetaka mwenyewe piga mzigo uo kama utaki omba ndogo atakimbia mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Huo no ujinga wako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad