Udaku Special Blog: Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home wakati mke wangu akiwa kazini.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa
Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee, hali ikiendelea hivi Wife Atajua ..Ushauri Tafadhali
Nimefanya Mapenzi na Housegirl Wetu, Sasa Anataka Zamu Sawa na Mke Wangu
5
February 06, 2015
Tags
Ana magonjwa huyo housegirl nenda kapime
ReplyDeleteMpige mimba.
ReplyDeleteacha michepuko isiyo ya lazima huyo binti wewe kakaushinda akili au ndo tamaaa nawewe tena usipo angalia atakupanda kichwani na heshima itapunguo kiasi cha kukupangia masaaa ya kazi,pole lakini ka mambo ya kujitakia mwenyewe na tamaa za kijinga kama umeweza kulala na huyo binti sasa bado kiddogo kumlala hata shemeji yako kwa tamaa zako za kimwili
ReplyDeleteacha ufala bwege wewe. umetaka mwenyewe piga mzigo uo kama utaki omba ndogo atakimbia mwenyewe
ReplyDeleteHuo no ujinga wako
ReplyDelete