Nuhu Mziwanda:Siwezi Kumwacha Mtoto Mzuri Kama Shilole Kwa Kunipiga Kibao tu, Tusitaniane Jamani

Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili


Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.

Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa wanawake wenye matumbo au vitambi naomba niwape ushauri/tiba
    1.Maji ya uvuguvugu lita 1 kila alfajiri,kunywa ndani ya dk 3/4.
    2.kijiko kikubwa cha asali nusu saa baada ya kunywa maji.
    Anza leo ndani ya wiki 2 utaona mabadiliko makubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA,
      AFADHALI.

      Delete
    2. Nimejaribu hii hata mimi,ni kweli inasaidia sana,imenisaidia na ngozi imekuwa nyororo sana,choo laini.

      Delete
  2. bora ww ulotoa somo kuliko huo upuuzi wa nuhu jamani ka

    ReplyDelete
  3. Fanya kazi acha kupenda kulelewa we dogo,umarioo unakupeleka pabaya huu muda unaoupoteza utakuja kuujutia

    ReplyDelete
  4. Mwacheni kazoea kupigwa na ataendelea kupigwa makofi kiasa mtoto mzuri kwani hakuna wengine wazuri watakayekueshimu kama mwanaume mjinga sana huyu jamaaa

    ReplyDelete
  5. mziwanda anataka kutoka kupitia scandal kama diamond

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad