Ommy Dimpoz Aambulia Matusi ni Baada ya Kupost Tangazo la CCM

Udaku Special Blog
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa......
Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.

Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.

Baadhi ya COMMENTS kutoka kwa Mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo hizi Hapa:

lukasndayase
omindipos ccm haifai mwanangu ww posti chadema mkuu

george_moses
Wewe brother umechanganyikiwa kweli rafiki yangu toa hilo picha weka hata katuni


mwanja60
Mmeisha anza kuhongwa na mafisad mulizen MALOW

mikidadiyusuph
happo umeyumba chama cha.wez hicho watz hatukitaki

kileju
umeishiwa mipango sasa unaanza kuji komba komba kama maisha yamekushinda rudi shamba ukafuge ngedere boya wwe

doreen_don
Supporting th dying horse!!!

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cant believe ommy umechahcha kiasisi hicho,unaelekea kubaya kama Malow kwishnee!

    ReplyDelete
  2. masanii yetu mengi masikini kwahiyo ni rahisi sana kurubuniwa, cha msingi ni kuyapiga chini tu yote yanayorubuniwa na MAFISADI! hakuna kuyasapoti!

    ReplyDelete
  3. muulize malow wewe !!!

    ReplyDelete
  4. Ntaanza kufuta nyimbo zako zote kwenye cm yangu,mpumbavu mkubwa weee

    ReplyDelete
  5. kwani nyinyi mkichukia ccm ndo mnataka wote waichukie si niuhuru wake mwacheni kbsa futa tu hizo nyimbo kwanza kuwa kwenye sm yako hakumpi faida yeye

    ReplyDelete
  6. umemjibu vizuri sana tu na nimegundua hana akili huyo naima coz...diamond aliperforn nn songea mwache nae afanye kaz...kwan kasema ye ni CCM MPUUZ saana watu na kazi zao.... kila mbuz ula urefu wa kamba yake...MSIMPANGIEEE...Mnajifanya wakosooajii paka mnajisahau kutafta pesa futaaa

    ReplyDelete
  7. me marlow nna nyimbo zake na cjafuta pia ajafulia kwa taarifa yenu sema hana skendo tu na hasikiki coz issue zake c za kucckika ovyooo

    ReplyDelete
  8. Wote msio ipenda CCM a.k.a. CHAMA KUBWA, CHAMA BABA, CHAMA MAMA, CHAMA BORA, sageni chupa mbwie! Wale mnao ipenda tuimbe pamoja .... CCM ni ile ile, ooooh ni ile ile....wapinzani wana tetemeka wanatetemeka.........CCM woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  9. Omy sio CCM wala Chadema Wala CUF,Omy msaniii hataingekuwa wewe unaye mponda Omy ungepata mualiko wa kwenda majuu kupiga show ya CCM na MKwanja mrefu kwa nini usiendee,angalia maslahi hao Chadema nao wakija na mkwanja Mrefu wakimualika kwenda kwenye matamasha yao ataenda vilevile,watu wanangalia wapi wanafaidika nyie kalieni ushabiki wa vyama wakati mnakufa njaa wenzenu wanapeta,Siasa bongo???bado sanaaa na mtasubiri sanaa hao wa upinzani tu wanataka kula,,,subirini Mboe awe Raisi kama mtapelekwa ikuli nyie na familia zenu,,,,siasa kama timu za mpira kila mtu na ushabiki wake,Mnadai mallow kafulia nani kamlipia kodi ya nyumba au kumpa hela ya kusuport familia yake,kafulia kimziki labda ila kimaisha yuko juuuu kinoma anapiga kimya tuuu.

    ReplyDelete
  10. Acha ujiga tuna kuku barisasa unaletamaswala ya kijinga jiheshimu umekuwa ww

    ReplyDelete
  11. Jiheshimu KK umekuwa achana nahayo mawazo ya kuingia mwenye siasa utaumbuka bule

    ReplyDelete
  12. Yaani wote hapo hamjui kuandika lugha yenu ya kiswahili,ni aibu gani hii?mpaka mnatia aibu puuu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad