Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lazidi Kuchanua Sasa Lahamia Kitandani

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project  flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.....



Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.

Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond.

Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaa

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaha alvyorudiana na Dai China alivaa huo m robe wake mweupe. Sasa Kaja Ommy kavaliwa huo huo. Nadhani ndio style ya Sepetunga kuvaa huo m robe wake kama ishara ya kutaka kukojolewa. Haya Ommy starehesha jando lako mwananguuu. Kisha kolea huyoo mkojoleeee. Ila usisahau ukaja kulipa hapo huduma bure tu.Ukitaka maelezo zaidi m contact Chibu.

    ReplyDelete
  2. Ommy umejiingiza kwenye ilo janga?? dah bora ungekutana na Ebola kuliko kukutana na hicho kichomi wema! MTU gani aoni aibu na hana heshima kwa mama yake mzazi anabadilisha wanaume kama ped na kuweka picha za mapenzi hadharani bila hata kumuogopa mama yke. Huyu wema akili zake c sawa kabisa.

    ReplyDelete
  3. she is a ed carpet

    ReplyDelete
  4. kama kweli wako sawakabisaaaa,diamond na penny ,kumbuka usemi mkuki kwa nguruwe,


    ReplyDelete
  5. Jamvi la wageni...wacha apakatwe tu mpaka isinyae.

    ReplyDelete
  6. Jamani huyu wema anavyo fanya ni vizuri kweli omy umechemsha mtu wangu ilikuwa katika wasanii bora kwangu ni Dangote,Ommy,Mavoko na Sheta omy you nolonger exist unamsaliti kakaako dangote.

    ReplyDelete
  7. Hicho ndiyo kizazi kipya cha Bongo ku copy life style ya nchi za Magharibi bila ya kufikiria madhara yake "DONE BLEW U SHIT"

    ReplyDelete
  8. halafu mama anasema diamond mhuni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad