Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.
Tukio hilo lilifanyika hivi majuzi, kwenye Birthday Party ya Esma iliyofanyika Samaki Samaki, Masaki.
Mastaa kadhaa wa hapa Bongo walitokea kwenye pati hiyo wakiwemo, Aunty Ezekiel, Queen Dorleen,Mirror na wengine wengi.
PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
7
February 05, 2015
Tags
HAKUNA JIPYA!!
ReplyDeleteUCHAFU MTUPU!!! MTAAMBUKIZA MAGONJWA
ReplyDeleteuchafu mtupu
ReplyDeletewacha project iendeleee.
ReplyDeleteSepetunga bado ana ndoto za kurudiwa na Dai na yeye apate mimba azae.LOL.Mnakumbuka mwanzoni alijidai Zari ni shoga ake? Sasa mbona kimya? Ana mu winda bob junior kwa udi na uvumba. Maana CK kisha songa mbele. Na bado utadinywa mpaka mwisho.Malaya mbovu weee
ReplyDeleteUjinga tuu,umarekani mwingi kumbe upumbavu et mnapendana c ugasaji huo bongo kaz ipo
ReplyDeleteUCHAFU MTUPU !!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete