Udaku Special Blog: Baada ya Picha ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Kuwekwa Mtandaoni ikionyesha wawili hao kukaa mkao wa kimahaba huku wema Sepetu Akimtumbua Ommy Dimpoz Chunusi Usoni ..Washabiki mbali mbali wa Wema Wamesifia Picha Hiyo na Kusema.........
Wamependezwa na Wawili Hao Wanavyopendeza na Kuwataka waanzishe Project Mpya , wakiwa na maana wawe wapenzi , Mashabiki wengine walikwenda mbali zaidi na kumwambia Wema Atoke na Ommy Dimpoz ili Amsahau aliyekuwa Mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz ambae kwa sasa anatoka na Zari the lady Boss wa Uganda..
Baadhi ya Comments za Mashabiki Kutoka Instagram hizi Hapa:
husna1112
pendeza sana my wema huyu ndo mwanaume anaga makuu yuko humble sana
theresiasebastiane
Gooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal hapana refa kaotea dimpoz unataka ufunike 2015 tulia na huyo ndo mwanamke bright na katulia yaani umeokota dodo kwenye mti wa ubuyu pyeeeeeeee refa anzisha mpira ligi imefika patamu
schollah24
Mewapenda b ureeeeeeeeeeeeeeeee @ommydimpoz @wemasepetu
vquetamari
Kwa mfanooooo ikawa kaukwel??
Je Unaona Wanaendana?
I love them together POZ kwa POZ....
ReplyDeleteMfupa ulionshinda fisi............................................atauweza?
ReplyDeleteHujui kila shetani na mbuyu wake! hakuna linaloshindikana
ReplyDeletekwa hiyo unamanisha dai fisi ww hujawahi sikia mtu kaachika baada ya kufunga ndoa miezi 6 tu naakaolewa nakudumu mpk sasa
ReplyDeletemmmmmmmmmmm yetu macho na masikio
ReplyDeleteWote wawili vicheche watawezana.
ReplyDeleteha ha ha hana lolote anajaribu kujipaisha !!! siku hizi duuu!!
ReplyDeleteWEMA JIACHIE DAADA HATA ZARI KICHEECHE waliotulia wapo na waume zao mfyuuu
ReplyDeleteFupa lililomshinda fisi. Kina Kanumba R.I.P kina Kiba, Chaz baba, CK na wajanja kibao washavuruga mbele mpaka nyuma. Kenda India kubadilisha rangi bado kapaukaaaa.Ommy unapoteaaa.Ona minyusi yake alivyo ipandisha juu.Full nyege.
ReplyDeleteJamani wanaendana, yaaaaaani vigelegele.nice couple
ReplyDeleteWanapendeza sana. Safi sana mdada kama ni kweli
ReplyDeletewanameremetaaaa!!!!
ReplyDeleteWanaendanaaaaa, watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteyani unaboa mapenzi hayaanikwi bwana
ReplyDelete