Picha ya Mpenzi wa Diamond , Zari Akioga Bafuni yazua Gumzo Mtandaoni


Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadil

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo:

faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu

santamolly1234: ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa....by de way nahis alivuka stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa muache ale maisha tuuuu.

faridahfakhi :Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show

ladymodal :Simama tukuoneee....bad!

Una maoni Gani Kuhusu Hiyo Picha Hapo Juu?

--------
I can still love an ex as a person, regardless if the breakup was bad. I would never wish anything negative on them. It takes more energy to hate them than to wish them well.
Ashley Greene




Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari nampenda sana ila kwa hili kaniangusha sana lol. Kanikeraaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  2. wasi wasi wako tu hakuna la ajabu hapo!!! zari uko pouwa sana !!!!

    ReplyDelete
  3. Picha za kawaida kabisa acha ushamba wako joe!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad