Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya, Daz Baba Mwenyewe Asema Hatumii Unga
5
February 06, 2015
Udaku Special Blog: Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana
Kuadhiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha Kudhoofika Mwili ...
Japo Ray C amesema hayo ila Mwanamuziki Daz Baba Siku si nyingi alihojiwa na Radio moja Maarufu Bongo na Kusema yeye hatumiii Madawa ya Kulevya Hata Kidogo Bali Hupenda tu Kukaa Vijiweni na masela wanaotumia Madawa ila yeye hatumiii....
Je kuna Ukweli wowote kuwa Daz Hatumii Madawa bali anasingiziwa tu?
Tags
Hata kama hatumii lakini ayo makapi wanayo tumia wenzie huwa yanamuathiri bila kujijua na kwa Kweli anaitaji msaaada
ReplyDeletemmm kama hatumii basi analewa sana ila sura nyenyewe inaonekana anabwia
ReplyDeleteHuyu kama hatumii Sembe basi muathirika akajitizame afya yake- Ushauri
ReplyDeleteKama hatumii basi akapime afya,atakuwa na tatizo kiafya.
ReplyDeleteunatisha !!!!!!!! na alivyofanya utadhani chizi.
ReplyDelete