Japo Huwa Anamtandika Makofi Lakini Kifua cha Nuhu Mziwanda Ndio Mto wa Kupatia Usingizi Shilole..


Udaku wa Instagram
Siku ya Jana ilikuwa ni siku ya Wapendanao ambapo watu mbali mbali walishow love kwa Watu wanao wapenda , mwimbaji Shilole ambae hivi karibuni ameingia katika skendo ya kumchapa vibao mchumba wake Nuhu Mziwanda Jana alipost haya maneno kuhusu Nuhu:

'My lv wangu mm wa uban! Nikiwaga nimekwazika na ya walimwengu basi akilinilaza kwenye kifua chake mawazo yote yanaisha na ninaweza sinzia kabisa! Nakupenda sana jackson wangu! Mm huwa napenda kumuita hivyo japo nyinyi mnajua kwa jina la NUH happy valentine my hubby." Aliandika Shilole

Haya Muache Kupigana Vibao sasa!

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnapendeza sana, muoane jamani wapendwaa

    ReplyDelete
  2. vua tshirt hiyo wewe mziwanda utombe mtoto ameshalegea huyoo unaanza kuremba tena sasa mtshirt wa nn wakat mwenzio yuko kwenye kanga moja au nije nikusaidie kazi nimpe 7 inch yangu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad