Sifa za Mwanaume Amtakae Lady Jay Dee Kwa Sasa ....
16
February 21, 2015
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?
JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..
Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?
Tags
jidee anatapatapa anataka Gadner amjibu, anatafuta umaarufu kwa nguvu.
ReplyDeleteacha shamba wewe jide maarufu sana haitaji unachose
DeleteSASA MIAKA YOOTE ULIYOISHI NA HABASHI MBONA HUKUSEMA ALIKUWA ANALALA NJE. MWENZIO KANYAMAZA NA WEWE PIGA KIMYA INAONYESHA BADO UNAMTAMNI KAMA SIO KUM MISS.
ReplyDeletemmemuliza amewajibu imekuwa shida angenyamaza igekuwashida!!!
DeleteJidee kwa wanaume wa sasa hutompata mwenye sifa hizo, kama ni umalaya hata wewe ulikuwa unachapuka nje ya ndoa yako na kutoa tigo, kila mtu anajua wacha kiki za kijinga.
ReplyDeleteumetumwa ???
Deletembona wengi tu wenye sifa hizo! kama wewe haujampata ni tatizo lako, wapo wenye sifa nzuri zaidi ya hizo
Deleteumeshamuacha Gadna mbona una haha kila kukicha na mafumbo ya kitoto? tako linawasha nini, pesa unazo si kanunue wa kukutoa haja zako tupesha bi kizee.
ReplyDeleteumeulizwa??
Deletekwani kuachana ni mwisho wa kupenda? mbona wewe umeshaachwa sana na bado unapenda, ancha hizo!
Deletemziki umshakushinda umemengangania Habash, kashasema hakujibu na katulia na anaempenda, ulitumia pesa kumshukua gadner yamekutokoea puani, kitulize bibi wee humpati kama Gadner tunajua unamiss vitu flan kwake.
ReplyDeletepole wewe jide uko juu acha waseme
Deletejidee bora utafute mtoto kuliko kutafuta malimbano na x wako.au ushafika 50+ haiwezekani tena?
ReplyDeletemtoto anaokotwa kama mawe? usipende kuropoka, unajua kesho yako? wani wewe huna mapungufu?
DeleteNimetumwa na Mama yako, afrit wewe mwenye hii blog ndo unaejibu uhayawani.
ReplyDeleteKwa gia hiyo Jide utasota sana. Unaonyesha uko difficult. No man wants a proud and difficult woman. Pole.
ReplyDelete