Sikiliza na Download Wimbo Mpya uliotoka leo wa Ali Kiba-Chekecha Chekechua

Baada ya kutamba na wimbo wake wa “Mwana Dar Es Salaam” Msanii Mkali Wa Bongo Flaiva Alikiba Ameachia Wimbo Wake Mpya Leo Unaitwa "Chekecha Chekechua".

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtamu kama mcharoooo

    ReplyDelete
  2. nyimbo nzuri sana big up kiba

    ReplyDelete
  3. Great Kiba, keep high your spirit. Benissimo!

    ReplyDelete
  4. Amekosa cha kuimba, wimbo ganii?

    ReplyDelete
  5. apana bwana daah cjui labda ndio kwavile mara ya kwanza kuusikia mbona umepooza swaga zile zile hauna tofauti na uliopita?

    ReplyDelete
  6. Ameishiwa bora afanye vitu vingine maana muziki wake na staili yake ni ile ile

    ReplyDelete
  7. acheni wivu jamaa kajtahd

    ReplyDelete
  8. acheni wivu jamaa kajtahd

    ReplyDelete
  9. Amejitahidi lakini mimi sijauelewa lakini bora huu kuliko ule aliodai umevuja ule alichemsha aongee ukweli tu.

    ReplyDelete
  10. tungeni wenu!

    ReplyDelete
  11. Kiba Bigup k2 quality icho ata Domo achungulii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad