Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Dully Sykes Mzee Sykes Afariki Dunia

Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki dunia leo akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Udaku Special Blog inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ABBY SYKES nakumbuka many yrs ago Mombasa/Kenya 1982/83 wakati tukizisotea Meli
    RIP BRO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad