Udaku Special blog
Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."
Ujauzito wa Zari Wamchanganya Diamond Aanza Kununua Midoli na Vitu vya Kuchezea vya Mtoto wao na Zari Kabla Hajazaliwa
21
February 11, 2015
Tags
We domo mtoto ni mipango ya mungu S's hizo mbwembwe wakati mimba ina miezi 3 au unajfny hujui maadil yet wafrika
ReplyDeleteWatu wa magazeti hawa,wanaishi hivyo,hutafuta sababu ili mradi aandikwe.
DeleteBig up diamond!!! ndo inavyotakiwa. hizo baaadhi ya mila mbovu mbovu zinatakiwa kuachwa hongera sana kwa hilo!!!!
ReplyDeleteakitoka amekufa acha ujinga wako huo mungu atakuangaza subiri mtoto azaliwe we mkufulu mungu tu, hivi hamumjui mungu alivyo mkali nyie. ulizeni watu wazimaa jamani!!!
ReplyDeleteww mwache na nyege zake watamuonyesha
DeleteHAKUNA LOLOTE AKIFA NI MAJALIWA YA MUNGU TU KWANI BILA HATA KUWEKA KITU MTOTO ANAWEZA KUFA. KUANDAA KWA DUNIA YA LEO NI KAWAIDA SANA ACHENI USHAMBA NYIE!!! MUNGU SIO WA HIVYO MNAOMSEMA NYIE AKIAMUA KUKUPA ANAKUPA TU HAIJALISHI IMEFANYA MAANDALIZI AU LAA!! KAMA NI HIVYO WAZUNGU WAGEKUWA KUTWA WANALIA MISIBA YA VICHANGA KWANI WAO NI LAZIMA MAANDALIZI YA MTOTO YANAANZA MIMBA TU INATUNGA NA CHUMBA KINAANDALIWA KABISA CHA MTOTO KIKIWA NA KILA KITU MTOTO ANACHOITAJI
DeleteDIAMOND WALA USIHOFU MTAYARISHIE MWANAO CHOCHOTE UPENDACHO!!! BIG UP!!
thot mama nasib alimfunza mambo mengine c ya kusema hadharani, Naseeb kuna husda na kijicho ndugu yangu tena wala mtu mwengine hakusudii ila husda ipo mambo mengine acha yakaae private kama mama nasib told ya kuna mambo ya private ni haya yamo pia usirambishie ndimu watu kwa neema za mungu keep low profile abt your child mpaka azaliwe inshallah apo mbele tumbo tutaliona tu hakutakua na haja ya kuzoom picture wala nini na mengine mpaka mtoto azaliwe ndio uturambishe ndimu all ze best kijana furaha yako ni furaha ya mashabiki wako pia ciao
ReplyDeletekatumwa na Zali kununulia watoto wake midoli
ReplyDeletewivu wako tu huna lolote
DeleteUngemshonea kabisa na uniform za shule mweyego!
ReplyDeletewivu tu unawasumbua!!!!
DeleteMdogo wangu acha kununua vitu vya motto plizzzzz, it is not about mila mbovumbovu it is about Macho ya watu wanao kuzunguka, kuna wengi wametafuta motto kama wewe kwa miaka mingi na hawajapata hadi leo. Keep it cool. Kuwa na subira babu, mtoto akija tutapamba na kusheherekea sasawa. BIG love.Neema za Mungu na Baraka zake zikutembelee. I am u gonna be a father, but so mad that the old bitch is the mother. But want can I say,na mtoto namtaka akupe faraja ya moyo wako.
ReplyDeletemungu amuepushe ma macho mabaya!!! amina
DeleteKwani kasema kama nivyahuyo mtt mtarajiwa?labda anawanunulia watt wampenzi wake je!
ReplyDeleteuwege unasoma c ukimbilie kukoment tu mnafeligi namna hii dah! "Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."
DeleteKwani kujiandaa kwa mtoto tatzo,wacheni ujinga huo wabongo....or kuna dini yeyote inayokataza mtu asiandae vitu vya mtoto hata km hajazaliwa? ni kawaida tu..Hongera sana Diamond,fanya yako wabongo hawakosi ya kusema.
ReplyDeletewewe umesema!! ni mawivu yao na maushamba yao tu.
DeleteYaani kuna watu bado wanafuata desturi zatu zakijinga hivyo jamani tuko kwenye kadrine nyingine toelimike jamani hizo tabia za kizamani. Kuwa usisema mimba ikiwa changa or usinunua vitu niuchuro hakuna kitu kama hicho kama ikitoka bahati mbaya na pia itakuwa ni mipango ya mungu mwacheni chibu ajifurahisha na kununua vitu vya mwanaye mtarajiwa
ReplyDeleteanawasanif tu hyuo domo toka lini mtoto mchanga akaanza kununuliwa magari. ziko toys za new born babies lakini sizo hizo anazonunua yeye. anapenda kuandikwa tu kila siku na hio ndio njia yake ya kutokea kimuziki.
ReplyDeletehuyo hana kizazi chama alichojiunga hakimruhusu....
HEY NINYI WATOA MAONI YA KUPOMDA , KWANI TATIZO NI NINI? NA KWANINI WATU HAWATAPENDA . HUYO NASSEEB HUWA SI MTU WA KUFICHA SIRI YUKO MUWAZI KWA KILA KITU KATIKA MAISHA YAKE, SASA KWANINII AWE MSIRI WA KIASI HICHO MNACHOKITAKA NINYI. KWA HIO FURAHA YAKE NI TAFARANI KWENU? ACHENI USHAMBA WENU HIKI NI NKIZAZI KIPYA HAYO MAMBO MNAYOAMINI NINYI NI YAKWENU YEYE ANAONA DUNIA INAVYOKWENDA HIVI SASA, SHAURI YENU KAMA BADO MNATAKA KUISHI MAISHA YA MWAKA 1890, KABLA MJERUMANI HAJAFIKA AFRICA MASHARIKI
ReplyDeleteMAWIVY YAO TU YANAWASUMBUA TU
ReplyDelete