Umbea wa Insta: Kajala Masanja kwenye News Tena, yasemekana Amefulia Mbaya

Udaku Special Blog
Kajala Kwenye News Tena Katika Pita pita zangu Instagram nimekutana na huu Ubuyu kutoka kwa Dougiesmasta akimponda Kajala na Kuandika haya Hapa Chini:



"Hehehehehehehe kama nilivyo sema mbea kazia yake ni kufikisha habari....na habari ndio hiii watu mpoooooooooo kutukanwa sitaki lkn umbe wa mujini ndio huu eeti ndugu yetu billionea kajala wa masanja sasa hiv amekuwa apeche alolo aka alosto kafulia fuli fuli...hatari hapana chezea lakzima utajiuliza kwan bwana Ck yuko WAP...aibu mjin CK ajifungia ndani anamadeni kila kona ya dunia....ck wa kuuza vitu vyake vya ndani inatia huruma billionea kajala wa kutembelea NOAH wakat mbezi ya kimala NOAH dala dala uwiiii....kajala tulikwambia lkn hapa mjini ukifulia hakuna atakae kutaka yuko wapi yule big daddy alokuwa anajifanya anakupenda kumshinda mamako mzazi wote wamekukimbia kajala wewe sio wakujifungia ndani bilionea shauzi kumwaga pesa sasa hiv unazijutia..yani wenzio wananunua magali wewe unauza hatari hii...hiv KAY YAKEE wewe kwann kila mwanaumr utakae kuwa nae lazima aishie jela maskin CK yani kama namuona anavyoenda kunyea debe mpooo CK kazi ndo basi wazee TAKUKURU wamfikisha mahakamani kwa wizi wa pesa za serikali...mungu sio fundi juma tusema ukiwa huna pesa utampa ny... mungu wako wewe ndio wawote kajala ulifurahi Sana Wema alipo pokonywa gali kipo WAP huyo bwana alokuwa anakutia jeuri sasa hiv kabaki yeye na tumbo lake...KAY VIP China mbona hatuoni tena safari zimeingia mchanga au hahahahahaha jamn jmn msipende kuchezea pesa zikiisha utaanza kukumbuka unao wadai wote
NAENDELEA UMBUYU MREFU" By Dougiesmasta

Je kuna Ukweli wowote ama ni Ushabiki wa Team Fulani na Fulani tu ?

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh si angelefungua biashara. akawanyang'anye wale mastedi shoo aliowatuza.
    hivi hata ana nyumba.

    ReplyDelete
    Replies

    1. Rudi shule,umalize japo la saba.

      Delete
  2. iliyo baki akajiuze kwa wachonga mbao maana wao ndio wenye mitaji mjiani

    ReplyDelete
  3. Aliye andika ana miaka mingapi?, anaandika kama anajifunza kuandika. Ilikuwa vigumu sana kusoma.

    ReplyDelete
  4. Aliyeandika huu upupu ni mshika chupi ya wema akiwa anawafurahisha akina pozi kwa pozi.

    ReplyDelete
  5. Saizi anazikumbuka zile pesa alizofanyia upedejee

    ReplyDelete
  6. Mama mzima haoni aibu, kazi kujiuza, kazoea vya kuhongwa. kazi anayo.

    ReplyDelete
  7. MMMM JAMANI MAWIVU YENU MTAACHA LINI?? HIZO HABARI ZI ZA KWELI!!

    ReplyDelete
  8. Mbona akiwa nao kweli wanishia pabaya jamani

    ReplyDelete
  9. Mbona akiwa nao kweli wanaishia pabaya jamani

    ReplyDelete
  10. wana wivu haooooo!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Aliesambaza uongo huu ni dougiemasta mfua chupi wa Wema Sepetu mamamaeeee. Wivu utawaua gademm shit in Lemutuz voice

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad