Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina mruhusu kufanya show nchini marekani! Inasemekana alitakiwa kukata viza ambayo inaonesha ana kwenda kufanya show nchini marekani na bila shaka gharama zake ni tofauti na ile ya kwenda kutembea!Viza aliyo kuwa amekata ilikuwa ya kwenda kutembea tuu na kusalimu ndugu na jamaa si kufanya show....
Sasa kilicho tokea alipo fika uwanja wa ndege akazuiwa kuingia nchini marekani kwani viza aliyo kuwa amekata ilikuwa haimruhusu kufanya show ni baada ya kuhojiwa!
Ninacho jiuliza kwanini watanzania tunafikiri kila sehemu tunaweza kufanya ujanja ujanja? Kwanini hatupendi kufata utaratibu?Bahati mbaya zaidi show ilikuwa imesha andaliwa na jana kama si juzi ilibidi afanye!
Yani mtu anataka pesa halafu anaogopa kuingia gharama kukata viza itakayo mruhusu kufanya show nchi ya watu!
ndo maisha ya kibongo bongo hayo, ni ujanja ujanja!!
ReplyDeleteYayayayayaya yaaaaaaa dah gundu hilo la Wema Sepetu
ReplyDeleteNDIO HIVYO WATANZANIA KILA MAHALI TUNADHANI UJANJA UJANJA TU KAMA KWETU. HATA UHAMIAJI YA BONGO AKIGEKUJA MGENI KWA STAHILI HIYO ANGERUHUSIWA TU !!!
ReplyDeleteHIVI HUYU KAISHIA LA NGAPI! TATIZO NI ELIMU AU ALIJUA ANAENDA KARIAKOO.
ReplyDeletewewe mtoto wa kiha si juzi tu tumekuona unatembelea shule uliosoma? au ulikiuwa mbumbumbu`?
ReplyDeletetumekwambia huyo wema nuksi wewe unaingia tu kichwa kichwa. haya sasa nenda Kigoma kasafishwe kwanza ili uanze jipanga upya. Hilo mwanamke ulilolala nalo ni jinamizi
Tatizo sio gundu hata hao walio mualika wange mwambia ukweli, kuwa tunakupa mualiko wa visitors, ila uki ingia USA tutakupeleka kuperform kwenye valentine part, wa alikaji ndio wamemuingiza choo cha kike jamaa ndio maana yeye kwa kujiamini alivyo ulizwa na imigration akasema ukweli kuwa ka alikwa akapige mziki! Wana mziki wite wa bongo wanaingia USA kwa gia ya visitors halafu wakifika basi kama kawaida yetu wanawapeleka kwenye kumbi za kibongo na kupiga mziki, hawaingii USA kwa visa ya kupiga mziki maana hiyo ni biashara, OMY hana gundu ila mbwembwe nyingi za wa bongo na kutokusema ukweli.Wasanii wote mjifunze kwa omy ukipewa kualiko wa visitor basi usiingize mziki ndani yake,Marekani sio Bongo unahonga imigration.
ReplyDeleteadmin mzuri sanaaaaaa,nampenda ile mbaya.
ReplyDeleteShoo marekani??? MH yangu macho!!
ReplyDelete