Wakati Nyalandu Anakanusha Kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel, Iyobo Nae Ana Haya..…

Baada ya hapo jana Waziri Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma  zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti  na mitandaoni za kuwa anachepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunty Ezekiel na kusisitiza kuwa yeye sio  muhusika wa ujauzito wa mwigizaji huyo, nikaamua kupitapita  kwenye kurasa za  mcheza shoo wa Diamond, Moses Iyobo ambae ndio
anasemekana kuwa  yeye ndio amempa ujauziko mwigizaji  huyo.

Kwanza nilikutana na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo, ambae alikuwa ameweka picha ya Aunty na kuandika haya;

Kama kumpenda nampenda sana lakini kinacho nipasua kichwa mie kuni save dalali kwenye cm yake yani sielewi ata kidogo

Lakini kilichonipa faraja ni picha hiyo hapo juu akiwa na Aunty kitandani na kuandika ule msemo kutoka Yamoto Band ambao unamaanisha mtu akipenda amependaaa.

‘Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila..........’

Kwa picha na ujumbe huu ni wazi Iyobo ndio baba kijacho kutoka kwa Aunty Ezekiel.

Mzee wa Ubuyu/Bongo Movies

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani ni ujinga ujinga,kweli ndege mjanja hunaswa. .....??kuna future kweli hapo?kila la kheri bibie itafute comment hii baada ya miaka 5 wakati mose yobo yobo amekuwa yebo yebo.

    ReplyDelete
  2. Waziri mzimaa anabishana mambo ya kipumbavu,afu bado yupo Tu yasni hii nchi muongo huu ulikosa viongozi kutoka kwaMungu embu ona sass,kulikuwa na haja gani kujitetea??nyie mahakama ya kadhi cjui kazi inawafaa ngoja ipite afu mwenye mke aje kulalamika mtapigwa mawe wore,mkata na mke wa mtu na mme wa mtu tena waziri kachepuka na Malaya bongo muvi ngoja muone.......Ni mawe Tu nini OFM,kadhi hii ianze kwenu na wenye tabia chafu km zenu,Tanzania nzima tunaonekana malaya(wachafu)here hamponi labda muokoke...

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa sana ujauzito ni wako hata useme vp au unataka tuanze kutoboa machafu zaidi...>?>>

    ReplyDelete
  4. Kuchamba kwingi........! Kweli mdaa umukaa kwa mcheza shoo? Ila sishangai ukiwa shoga wa Wema lazima akuuze kwa mtu alikua na Kajala zamani akamuuza kwa Petit akarudiana na Diamond so akawa karibu na Esmaplatnumz akamgawa kwa Petit ss akawa naurafiki na Anti kamgawa kwa mcheza shoo daah poyeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad