Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia


Udaku Special Blog: Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.

Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.

Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.

Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nani kwamwambia wanaume wenye akili timamu wanaoaga malaya kama yy??
    Atakae muoa ajue kaoa shimo la wote. Malaya mbwa asiejitambua, Kazi kujitoa fahamu kama jini mahaba. Kumbuka siku ile pale bamaga..ulikua kichekesho cha dunia na bichwa lako ulilonyoa kipara. Katengeneze mimeno yako iliyoachana kama miba ya nungunungu. Wanja style inaonyesha ni 100% changu. Ehee ile picha ya chibu na kuran pale getini kwako hujui inatoka wapi?Uso haya wee.Nani asiejua unakwanga kila kona chibu akurudie?nyooooo.Kanye kuleeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona una chuki binafsi hivyo. Ww sio Mungu kutoa hukumu. Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kusamehe na pia mkali wa kuadhibu.
      Mungu ndio anajua wapi pa kumuweka. Pia ukiona cha nini wenzio wanauliza watakipata lini. Ataolewa na mwanaume mwenye kujua thamani yake yy km mwanamke

      Delete
    2. Huyo malaya wewe co mwanamke, kunatofauti kati ya msalaba na kujumlisha kafikirie cha kuongea hapo umeachama tu yakatoka

      Delete
  2. na wewe hapo ndo unaota ndoto mchana kweupe wema akiwa na thamani basi thamani haina maana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Excellent! Inaonekana uko timamu sana, nimekuelewa ile sana tu

      Delete
  3. Kiukweli mwanaume timamu na mwenye akili nzuri ni ngumu kumuoa mtu kama Wema kioo cha malaya.

    ReplyDelete
  4. Huyo mwanamme atakae kuoa wema inabidi apelekwe hospital ya vichaa milembe Dodoma! Akili yake aitakuwa sawa Kubeba zigo kama wewe wema kuweka ndani.

    ReplyDelete
  5. Huyu akipata mume basi mimi nitamuoa mbwa wa pale mtaa kwa sababu anatabia ya kutombwa na mbwa yeyote apitaye.

    ReplyDelete
  6. Kila mtu akipanga watu aliotembea nao toka kaoa au kuolewa ni treni!! Kwakuwa tu ya wematunayasikia ila kila mtu ana mizigo yake kibao so usihukumu. Ukinyoosha kidole kimoja vitatu vinarudi

    ReplyDelete
  7. Hivi nyinyi maumbwa mnaolopoka hapo, Hao wanawake zenu mliowaoa mliowaoa bikra? Mnajua huko nyuma kabla yenu walikuwa na tabia gani, au nyinyi hapo bado mko bikra? Jamani achane kumjugde huyu msichana kwani naye anamoyo kama binadamu wengine or becoz she is a star ndo hatakiwi kuwa na mtu kama akiachana na mtu? Nyinyi hapo Hao wanawake mlioanzana nao kipindi hiko bado mko nao? Hamjawahi kutembea na mwanamke au mwanaume zaidi ya mmoja? Kila mtu analist yake when it come about past relationships, hakuna ambaye hana list hata uwe na wangapi ni list, na nyie mnachepuka mkute mnamagonjwa hapo this girl she is real when it comes about love anapenda kuonyesha mpenzi wake kila mtu amjue, ila nyinyi ndo mnamchukulia simple. Kumbuka ukimnyooshe mtu kidole vitatu vinakuangalia Wewe pia. No one is perfect in this world. Haswa waswahili tumezidi kujudge kuliko kufikiria maisha. Inasikitisha sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani wew ndo zezeta kabisaaaa nahic ndo wale wale wapigwa Tg

      Delete
    2. Binaadamu bana tumaonaga ya wenzetu tu yetu aaaah hebu msafi ajitoe hadharani tumuone, mwacheni Wema wa watu na maisha yake.

      Delete
    3. Mbwa mwenyewe unaotoka povu kama umekula Omo manina

      Delete
  8. watupishe kule,midomo michafu kama choo cha stendi.yako ni ya kwako,ya kwangu yakuhusuni,pilipili usoila yakuwashani!!!!!!!! qzqzqzqzqzq

    ReplyDelete
  9. MUNGU AKUJALIE WEMA UPATE MEMU SAWA SAWA NA HAJA YAKO!!

    ReplyDelete
  10. SIO MEMU WEWE NI MUME

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad