Wema Sepetu na Ivan it's ON, Wana-date, Ommy Dimpoz na Wema Sepetu ni Zuga Tu

In other news, Tanzania’s sweetheart ,Wema Sepetu is officially dating mheshimiwa Ivan kutoka Uganda ambae kwa sasa anaishi South Africa. Kwa msiomfahamu IVAN ni ex-husband wa GF wa Tanzania’s superstar Diamond PLATNUMZ anaejulikana kama Zari the boss lady.



Yes, this is 120% confirmed,no, its 200% CONFIRMED. Kwasasa hawataki kuweka relationship yao out there kama kina fulani sababu wao wako pamoja sababu wanapendana na sio sababu wanataka kushindana na their exes au sababu they are looking for attention.

I think Wema kajifunza kuwa hizi relationship za mapicha kila baada ya dakika 5 huwa hazi last so kaamua yeye na Ivan mapenzi yao yawe ya kwao wao mpaka hapo watakapo ona wamejuana vizuri ndo watayaweka wazi. Yes, wengi wataona kuwa sio sawa hawa kuwa pamoja kwa sababu zilizo wazi ila pia mkumbuke kuwa sometimes watu hukutana kwenye circumstances za ajabu ajabu.

Yes, labda wasingejuana kama sio exes wao kutoka pamoja ila again labda ndo ilikuwa njia ya Mungu kuwakutanisha wawili hawa.

Hata Rihanna aliimba ” We found love in a hopeless place” naongea hivi sababu, it is real between these 2 na wanapendana haswaaaa. Na nimeamua kuwa support mapenzi yao sababu wanayaficha which means ni mapenzi ya kweli, sio mapenzi ya magazeti au kuonyesha watu au kutafuta attention like kina fundenge

Yaani ni mapenzi ya kiutu uzima sio ya nursery school. Nimeyapenda mnoooo… Na mdogo wangu mnamjua kwa kufall in love! Hahahaha!


Also Im sure utakuwa umenotice hiyo DP kwenye insta ya wema hiyo ya Lipstick ni kwamba Wema analeta lipstic za maana zenye jina lake, in each and every color. Na project nzima iko funded na mzee mzima Ivan….

STAY TUNED!

Haya ndo mapenzi mazuri sasa…..Ukimpenda mwanamke unamnyanyua ili na yeye aweze kujitegemea na awe your equal.. Na mwanamke pia akiwa na mwanaume anaemnyanyua hivi atampendaje sasa? Yani mwanaume utafurahi maisha mbona….

Anyways, siku hii news ya Wema and IVAN iki break out officially, just remember where you heard it first… hahahahhahaa! So, Yes, Wema na Dimpoz hakuna kitu chochote kinachoendelea, Walikuwa wanafanya music video, basi!

Ila wana enjoy jinsi wanavyowazingua na mapicha na ku divert attention from the real couple….hahahaha…Alafu naskia King Lawrence kapigwa mkwala wa hatari na Ivan, not to say or publish any pics ya relationship yake na Wema..

Jamani ndo maana siku zile wakati King anamdhalilisha Zari nilikuwa nawaambia kuwa dont blame King, King anafanya vile anavyotumwa na IVan, nothing more, nothing less. Mbona issue ya Wema kaambiwa aache na kaacha? hahahahahha!

Mmmh, ona Ivan na Wema wanavyozuga watu huko instagram. Wema anacomment kwenye picha za Ivan na Ivan ane anamjibu kama vile hawajuani…hahaha!

Chanzo: U-turn

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. awa wanaume wa kuganda wapo km mademu alikuwa wapi before dimond kumchukua zari inaintesha jamaa alikuwa anampenda sana zari duuu pole wema kwa kuwa screpal ya ivan ujitambui unazidi kupotea kisa uvivu wa kufanya kazi

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli Nazi haiwezi kushindana na jiwe hata siku moja .Wema ungetulizana tu kuliko kuendelea kujizalilisha .mwanaume anaweza akawa na mahusiano na wanawake hata hamsini lakini bado uwanaume wake ukabaki pale pale mwanamke ukishachanganya wanaume kila kukicha basi uwezi kuendelea kuwa mwanamke kwasababu uwanamke wako unakuwa umesha uharibu kwani kila mwanaume na maumbile yake

    ReplyDelete
  3. Bado sioni kama huyo Ivan anamapenzi na Wema ,mwanaume ni mwanaume tu uwezi kushindana naye mwisho ya yote utabaki kujidharaulisha na kujizalilisha ukawa huna thamani.Wema mbona wewe ni mwanamke mzuri tulizana

    ReplyDelete
  4. Team Wema walisema Ivan ana ukimwi sijui kapona sasa vile yuko na michirizi?

    ReplyDelete
  5. Wema kweli malaya wa kimataifa!

    ReplyDelete
  6. acheni jaman project iendelee

    ReplyDelete
  7. Kama Ivan ana ukimwi basi Diamond na Zari wote ni waathirika ngoma draw.

    ReplyDelete
  8. Haaaaa eti wema Malaya domo nae so Malaya ni kahaba LA lililokubuhu ametembea na marafuki wa wema Wa ngapi ? Leo kahamua kulipiza ni kahaba jamani chaaaa wema tembea nae wacha waseme wanamtamani Ivan

    ReplyDelete
  9. AAh!! Ebu jamani acheni kutuzingua si juzi tu tumeambiwa hiyo project haikuwesekana. Si tumeambiwa kuwa baada ya dimpoz kumpelekea Ivan madame alifeli ku-meet criteria za huyo tajiri. Mashuhuda wamesema Ivon alitia mkono wake ku-chek papuchi ya madame na mara akasema ''I'm sorry Dimpoz, This is not what I was expecting'',

    ReplyDelete
  10. He!! Kumbee Balaa. Sasa hao mashuhuda walisema tatizo ilikua nini? Ni ukubwa wa hio papuchi au ndiyo imevurugwa sana? Jamani hamuachi visa nyie!!

    ReplyDelete
  11. Haaaaa eti wema Malaya domo nae so Malaya ni kahaba LA lililokubuhu ametembea na marafuki wa wema Wa ngapi ? Leo kahamua kulipiza ni kahaba jamani chaaaa wema tembea nae wacha waseme wanamtamani Ivan

    ReplyDelete
  12. Wema fanya kazi....huu wote ni uvivu uvivu....easy MONEY zitakuua. Tutakuzika na robo kilo. Mtoto mdogo mambo makubwa Sasa Huyo Baba wa watu atakutumia akuache kua mstaarab. Bila Shaka kaisha kulala. ....Your just too Easy to get. Ona kina Joketi watoto wadogo wanajituma kufanya kazi....hahaha unanichefua

    ReplyDelete
  13. Mimi nashangaa sana, hapo mnaposema Wema malaya umalaya wake ni nini? kuwa mwanamme mwingine ndio umalaya? sasa akae asimpate mtu wa kumliwadha kama nivyo hata Zari na Nasibu malaya. kosa ni kosa awe mwanamke au mwanamme, kwa nini kila kitu kinatupiwa wanawake je wanaume hawana makosa kama mwanamme anaweza kufanya hata mwanamke pia kila siku wanawake ndio wabaya kwa kweli hajalala na baba yake mzazi, anahitaji mtu wa kumfariji. Hakuna mtu asiotaka kuishi na mtu mmoja mwanamme na mwanamke kama hujapata "right person" inaweza ukaachwa sasa ufanye nini. je alipokuwa na Nasibu alikuwa na mwingine pia system ya kwetu inatuharibu sana wanawake hawana hadhi na kuonekana hatunzi nyumba yake kumbukeni "it takes twoo to tangle" .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad