Udaku Special Blog: Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua kwa maneno machafu....
amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi yake....
“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me, BI..CH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema aliandika maneno haya mtandao jana usiku.
Nadhani ujumbe umefika!!!
Wema Sepetu Awapa Vidonge Vyao Wale Wanao Sema Hawampendi na Huku Wanaendelea Kufuatilia Mambo yake na Kila Anachopost Mtandaoni
4
February 09, 2015
Tags
Wema ure such a beutyful girl and amazing lady worth any price, why cant you stop these dramas and focus on your carriers and wait for a dicent Man/ Husband material to come and get married with you. Nakupenda sana ila nachukizwa na the way u do things darln. u break up with Diamond then at least u shud have leave these so call relationships with Stars and luk for Gentleman whome u can start a freash life and get married.
ReplyDeleteYah! we do like u wemalicious stay away from this dramas.no 1 fan 4 yu....mzk
ReplyDeleteHapo anamlenga Zari ambae siku zileee ali claim kuwa ni shoga ake. Tatizo lake akiachana na mwanaume yyte anaunda uadui na demu anaefata. Kwa CK aliumia baada ya K kukalia kiti. Enzi zile alimchukia Penny baada ya kutoka na domo.Sasa mbaya wake rasmi kawa Zari. Hivi nikuulize Wema Ck,Chibu Chaz baba, Ali Kiba na wale wangine walikuwa mabwana tu.Why dont you let it go??? Who do you think you really are??
ReplyDeleteWema Malaya tuu Hana lolote,arudi kwa Mungu wake,haishiwi hamu ya kulalwa yaani km pepo la ngono sio analo yeye ndio pepp lenyewe.,naomba Mungu nisikutane nae mama atanisumbua mno kwa jinsi nilivyo,kakosa mama wakumlea kimaadili mama mtoto WA nyoka Ni nyoka.....
ReplyDelete