Cheni na pete alizojinunuliwa Wema Sepetu siku za Nyuma |
Mtaawapili
"Bibi zaituni acha tabia zako za copy na kupaste sio kila anachofanya wema na lazima ufanye utaumbuka bure.....nyie team nyoko nyoko ebu tafuteni kitu cha kufanya au mwambeni huyo bosslady awape kazi ya kufua ile sidiria kauka ni kuvae mfyuuuuu.hivi nyie mnajuwa kama wema anapenda gold sana na anazo nyingi mno.alipokuwa ck alipelekwa dubai kununuwa gold tu Google utaona .kama mtakumbuka vizuri wema na domo walikuwa china walinunua gold za gram 50 kila mtu🙌.watu wanasema eti cheni ya wema ni fake ni ule mkeka wa elfu 50 nyoooooooo kwenye upande wa madini wema ana fanya kweli cheni ya sio fake muulizeni vizuri wajinga tukitaka kujuwa wema wapi walinunuwa gold kasmani jewellery mitaa ya kitumbini tel 2557562.... nenda kaulize bei zake kama ujatoka bila kuagaaa tena ata yule mjela jela anayo @dainakavishe ebu wape bei za gold kiasi gani"
Baada ya Mtaawapili kutoa huo UBUYU haya ni Maoni ya Mashabiki walicomment kwenye shutuma hizi:
maskio_popo
Si ajabu kajinunulia mwenyewe hiyo mibat yake alafu et tanx boo,hao ndo wale wanaowapaga ela mwanaume akalipie mahari kwao
mtoto_mzuriii
Ataiga mpka akome apeleke mbele huko mitende yakeee
chamiy8
Hahaha yule bibi mpimbavuu leo tilimuanda morning jioni kanunua ha haha hataki kushindwa mamaeee sasa atajuta hamfikii wema wetuu kwa gold namuaminia wema pekeyakee
kimbwi22222
Saaana hakuna fake hapo hata me nnayo ....3.6 mil hizoo.....hakuna ubishi wema wetu hatariiiiiiiiiii......wengine wanaiga...mtapasuka msambaaaa eeh
Hawa mashabiki wawema niwalewasio na elimu yani tunawaita wauswazi hawajui tofauti ya wema nazari,wao wanafikiri wemandio mwanzilishi wakilakitu huyu zari kaanza kuvaa hivi vitu kabla ya huyo wema wenu hajajulikana
ReplyDeleteYani wasipime kabisa zari anamshiko wanguvu anaweza vaa madini yoyote,hatakumlipia wema kodi kwenye kilekichumba anachoishi mpaka azeeke
ReplyDeletesasa hizo gold za ck si alishanyanganywa mtabaki na vijiba vya roho mwaka huu.na hata uvungu wa kitanda mtaingia na hilo la kunoki engine.
ReplyDeleteWema nahao wajinga wenzako mmeishiwa chakusema mwenzenu alianza kuvaa hivyovitu wakatinyie bado masunguratope
ReplyDeleteZari anaakili siokama wema paka leo anapanga mdada anategemea kutombwa tuuuuuu!Big up kijoti.
ReplyDeleteUjinga tu,kazi kushabikia yasowahusu tu,katafuteni kazi mfanye....nyie wenyewe chupi zenu mnavaa siku 3 ndo mnabadilisha,mnanuka maziwa na viku......fyuuuuu
ReplyDeleteZari amefurahiya zawadi kutoka kwa mpenzi wake sikama hajawahi kuva dhahabu.iyo team wawo na madam team zari anaweza wanunuwa.kisha kasema kujitileya mahari huwezi sema kama huku anza weye
ReplyDeleteTeam wema wote naniii zenu
ReplyDeletenyie wote wajinga tu siku akirudiana na wema mtatapatapa mara ngapi wameachana na wakarudiana?fanyeni yenu muache mv iendelee wakapatana nyie mkavune.
ReplyDeletemnahangaika sana na yao yenu yamewashinda
we unasifia nchi ya marekani wakati we mtanzania?wasenge kweli nyie au mkale mavi ya zari na mkojo mnaacha kusifia wake zenu kila dakika zari hamna hata aibu
ReplyDeletewema yupo juu mtatukana na mtaiongea sana stil nidam yatanzania sio photocopy kama hzo copy zimechezewa uko mpaka mnaziona zinafaa kisa pesa kama anapesa amwambie mungu asife amuonge mungu ela
ReplyDeletewanaume oyeeeeeeeeeeeeeee sie hatuchambwi kwenye bandika-bandua.
ReplyDeletehehehehhhehhehehehhe dunani kuna raha hehehehheheheh yani mtu povu likutoke kisa team hahahahahah mweh!!!! kila mtu karudi kwake itakuaje? hahahahha mbaya zaidi huyo muhusika hua anakua karibu na wahusika baadae vijuso vinakua vidunyuuuu.
ReplyDelete