Zitto Awa Mbogo Amtaka Waziri Nyalandu Kujiuzulu Akishindwa Kutoa Tangazo Gazetini Leo Jioni

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye hifadhi la sivyo ajiuzulu cheo chake.



Zitto ameyasema hayo leo wakati akichangia kwenye majadiliano ya hoja za kamati bungeni.

Zitto amesema kuwa serikali inapoteza shilingi bilioni 2 kila mwezi kwa kitendo cha Waziri wa Utalii kutotoa tangazo katika gazeti la Serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli katika Hifadhi.

Tangu mwaka 2011 mpaka 2014, Serikali imepoteza tshs 80 bilioni.
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KHAA JAMANI NCHI HIIII KWELI KWELI RAIS KIKWETE HUYAONI HAYA !!!!????

    ReplyDelete
  2. KITANDA KIMOJA WATU WANEE KWENYE MAHOSPITALI HALAFU MIHELA YOTE HIYO INAPOTEA MWEE!!! NYIE VIONGOZI WA NCHI HII HAMUONI UCHUNGU HATA KIDOGO????????????

    ReplyDelete
  3. HIVI BADO TU HAJAJIUZURU???? POLE FARJA KOTA WEWE NI MKE MWEMA SANA ILA MUME MMM!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na ukimwi muepuke faraja wetu.

      Delete
  4. Tz hakuna umaskini ila viongozi tu ndio mchwara.

    ReplyDelete
  5. kweli kabisa viongozi wa Tanzania walio wengi ni kwa ajili ya kujinufaisha wao kwanza,
    wanakimbilia kugombea uongozi na wakishapa na kula kiapo huwa kiapo kinaishia palepale kwenye sherehe ya kuapishwa,kwa ujumla hawatekelezi viapo vyao.

    ReplyDelete
  6. HAAA RAISI ANAJALI YEYE ANAVUTA CHA KWAKE TENA CHA KUELEWEKA, ATATUJALI KINA SIE KAJAMBA NANI? KWANZA MDA WAKE ANAONA NDIO ANAMALIZIA, HATAKI STRESS, KAMA NA YEYE NI MMJA WAPO JEE? KAZI KWELI TUCHAGUE WATU WANAOFAA KIOWONGOZI, SIO KILA MTU ANAETAKA UONGOZI NI KIONGOZI WATU WAPO KIMASLHI ZAIDI, MAISHA HAYA HOOO NANI ASIYEPENDA KULA VIZURI KUVAA VIZURI, KUISHI VIZURI, MAISHA BORA HAYO!!!! KWA MUDA WA MIAKA KUMI YOTE ALIYOKAA RAISI, MAISHA BORA ZIIII,

    ReplyDelete
  7. Mbona tuliambiwa ma Hotel ya mbuga za hifadhi yanafungwa kwa kukosa watalii????? Wakati huo huo hizi Hotels kwenye Mbiuga za Hifadhi ziko zinapunguza idadi ya wafanyakazi wake kutokana na sababu hiyo hiyo hapo juu. Yaani kukosa fedha za kuwalipa mishahara wafanyakazi wake kutokana na upungufu wa watalii. Sasa kama hizo habari ni za kweli ni kwa nini muwatoze kodi mpya wakati ma Hotel yenyewe hayafanyi biashara kama inavyotakiwa???? Na wala hayapati faida yoyote ile kiasi cha kuamua kuwapunguza wafanyakazi wake. Sasa kwa kuongeza hiyo kodi mnataka hayo ma Hoteli yakapumulie wapi????? Zitto na wenzake ni kwamba hata kama mna pigania kwa nguvu zote pato la Taifa na rasilimali zake lakini jaribuni sana kuwa waungwana hasa katika maamuzi yenu ambayo kwa namna moja ama nyingine yanamgusa Mtanzania mlalahoi. Sasa hebu Zitto tuambie hawa Watanzania walalahoi ambao ndio watakao kuwa waadhirika wa hilo ongezeko la kodi kwenye hayo ma Hoteli Wakale na Kulala wapi wao na familia zao???????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtu wako huyo waziri amefanya nini mpaka sasa kuongeza ujio wa watalii. tuulizeni sisi wenye kukaa kwenye hii taaluma tukupe data.

      Delete
    2. Mtu wako huyo waziri amefanya nini mpaka sasa kuongeza ujio wa watalii. tuulizeni sisi wenye kukaa kwenye hii taaluma tukupe data.

      Delete
  8. Kwa Kweli Zitto ni Kiongozi Bora..Anafichua Mengi sana na Kusubutu kusema wazi,,Sijui ila mie naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania

    ReplyDelete
  9. u don't know what ur wishin 4

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad