Unahisi Adhabu Gani Inawafaa Waganga ama Watu Wanaohusika na Mauaji ya Albino?

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwemo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino. Inasemekana waganga ngio huagiza watu viungo vya albino ili wawafanyie dawa.

Kwa maoni yako, watu hawa wanaosababisha ndugu zetu albino wanauwawa, unahisi adhabu gani inawafaa?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MIYE NAONA WAKATWE NA WAO MKONO MMOJA NA PANGA KWA NAMNA ILE ILE WANAYOWAKATA ALBINO ILI NAO WAPATE MAUMIVU KAMA WALIVYOWAFANYA WENZAO!!!

    ReplyDelete
  2. mie naona wafilwe azarani hao bila ata kupakwa ky machine iingie kavu kavu

    ReplyDelete
  3. nawao wakatwe kama wanavyofanyia wanzao

    ReplyDelete
  4. wakatwe mikono ili wasikie utamu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad