Diamond Anusirika Kukatwa Mguu...Ugonjwa Unaomsumbua ni Hatari Sana..Afanyiwa Upasuaji..Video

Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati mgumu Baada ya Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia hatua mpaka kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti ..Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa Tatizo hilo katika Mguu wake ..

Angalia Video Hapa chini Akiwa Katika Chumba cha Upasuaji:

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo itakuwa ni video

    ReplyDelete
  2. NYINYI WA UDAKU MNAPENDA SANA KUKUZA STORY,, WASENGE WAKUBWA NYIE,, MMEKOSA CHA KUANDIKA?

    ReplyDelete
  3. Titel kubwaaaaaaa!Ili mtu akiona tu anunue magazeti yenu mabovu(poor quality)ya kinafiki na uchonganishi na uchochezi wa kila kukicha ukisoma ni upuuzi mtupu hakuna cha maana kilichoandikwa na sometimes hakieleweki nini kimeandikwa au nini mnamaanisha zaidi ya kuandika "BROCKEN SWAHILI"japo ni lugha yenu lakini kuiandika hamjui simjui huo mnaoudai kuwa nyinyi ni waandishi mmejifunzia katika shule gani kudadeki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad