Anna Makinda 'Siwezi Mfukuza Zitto Kabwe Bungeni'

Ana Makinda
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), ameongeza kuwa hawezi kufanyia kazi taarifa za kwenye vyombo vya habari, badala yake anasubiri taarifa za kiofisi kutoka NEC. Kwa upande wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa
Nini maoni yako katika hilo?

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Well awepo asiwepo sio tatizo bunge ni sehemu ya ajira ya kujipatia utajiri wa rahisi utaratibu mzima sio kuwa unamtetea mwananchi bali ni sehemu ya kuchuua posho na marupu rupu na kupiga soga.Hatari ni kwamba siku zinakwenda rushwa inazidi kushamiri na hali za wananchi zinakua ngumu.Sheria hazifuatwi mwenye pesa ndio mwenye haki nk

    ReplyDelete
  2. Well awepo asiwepo sio tatizo bunge ni sehemu ya ajira ya kujipatia utajiri wa rahisi utaratibu mzima sio kuwa unamtetea mwananchi bali ni sehemu ya kuchuua posho na marupu rupu na kupiga soga.Hatari ni kwamba siku zinakwenda rushwa inazidi kushamiri na hali za wananchi zinakua ngumu.Sheria hazifuatwi mwenye pesa ndio mwenye haki nk

    ReplyDelete
  3. Umesema kweli mdau wa hapo juu lakini no sweat yana mwisho wake haya iko siku atakuja tokea Rais mwenye nia na uchungu wa watanzania wenzake wanaoteseka kimaisha na kugandamizwa na wanasiasa wachache wenye tamaa ya utajiri kupitia migongo yao "GOD HAVE A MERCY ON MILLIONS OF SUFFERING TANZANIANS INSIDE THEIR OWN COUNTRY"

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad