Aunty Ezekiel Amejifungua?!!


Muigizaji Aunty Ezekiel kwenye ukurasa wake wa Istagram jana usiku aliweka video ikimuonesha akiwa Hospitali na akiwa amembeba mtoto mkononi ilivuma na katika picha zake zote hiyo ndo ilipata comments nyingi zaidi watanzania wakimpongeza kwa kujifungua,  Mose Iyobo ambaye mara nyingi ametajwa kuwa ndiye baba wa mtoto huyo, amesema  Aunty yuko location wanashoot movie mpya aliyocheza na msanii Dude.

Ni movie kweli au kajifungua?

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh watanzania bana.mtu ajifungue mtoto akue ghafla ivo kwani anamwagiwa mbolea au umbea wenu tu

    ReplyDelete
  2. UMBEA WAO TU WABONGO BANA MTAACHA LINI?? UDAKU NA NYIE ??????????

    ReplyDelete
  3. Kwli ni umbea na hata km kajifungua sio mtt uyo anaonekana mtu mzima kabisa ila endeleeni kuusaka umbea lkn kwa hapa mmefeli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad