Azam TV Pesa Inaongea ..Watengeneza Studio Kama Zile za BBC na CCN..

Studio mpya za Azam TV ambazo JK anazindua leo....Ni sawa na zile za Skysport, Al Jazeera, BBC, CNN na nyinginezo...hazipo katika level zetu tulizozoea....zile screen za kuchambua mpira zipo...Money makes the world goes around....

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nawakubali sana Azam hawanaga mboyoyo mingi..hata wanapofanya covereg ya matukio live au mpira huwa wanajitahidi sana, kuna tofauti kubwa sana na shirika letu la habari la taifa...big u to them

    ReplyDelete
  2. Kwakweli Azam wako poa sana, hata wasemaji wao wametulia mno, wanazungumza kwa staha na kujiheshimu, sio kama msema hovyo wa yanga Jerry Murro.... kichefuchefu tupu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. 'Tusubiri' ndio tutaona kama Jerry ni kichefuchefu au sio,msema ovyo au sio.
      Wabongo mmezoea kufanya mambo kimagumashi/kirushwarushwa kama mlivyombeba Lundenga .

      Delete
  3. BAKHRESA UNATISHA PRODUCT ZAKO ZINAJIELEZA NA HIYO TV ITAKIMBIZA TUU NAJUA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad