Baada ya siku za hivi karibuni, Wema Sepetu kuamua kumwaga mboga kwa kumfungukia shosti wake wa zamani Kajala Masanja kwa kusema si rafiki mzuri na pia amefilisika, inadaiwa Kajala anajiandaa kumwaga ugali, Ijumaa limetonywa.
Rafiki wa karibu wa Kajala aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimtonya mwandishi wetu kuwa maneno anayoyatoa Wema yanamkosesha amani mwenzake na kwamba siku si nyingi Kajala naye atajibu mapigo.
“Si unajua wale wanajuana vizuri, walikuwa wanafichiana siri zao, alipofikia Wema akae mkao wa mambo yake kuanikwa, bado Kajala anatafuta ushauri wa namna ya kujibu mashambulizi, Wema kamwaga mboga, mwenzake atamwaga ugali,” kilinyetisha chanzo hicho.
Katika kujua ukweli wa ‘ubuyu’ huu, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Kajala kupitia namba yake ya mkononi lakini kila ilipopigwa haikupokelewa. Jitihada za kumtafuta zinaendelea ili ikiwezekana akimwaga ugali
GPL
Baada ya Wema Kumwaga Mboga..Kajala Ajiandaa Kumwaga Ugali Live...Kisaa....
15
March 06, 2015
Kajala NYAMAZA,achana na mambo ya kiswahili K,
ReplyDeleteMbona tabia yako na unavyotaka kufanya havifanani?
Ilikuwa njema sana mlivyoachana kufatana na Wema kwa kuwa mlikuwa hamuendani kitabia.Narudia tena kusema NYAMAZA KIMYWA.
kweli mdau,nimeshakuwa jirani na Wema wakati fulani,na baadae kujikuta jirani na Kay,ni kweli kwamba ni watu wa tabia tofauti sana kiasi cha kushangaza urafiki wao.kajala mtaratibu sana huwezi kujua kama mtaani kuna staa mkubwa kama yeye,hata sisi walala hoi anakuwa peace nasi kwa kweli.mungu amjalie mema.
Deletekwa hiyo ww unaona k ndo anatabia nzuri ee basi mushauri akamtoe mmewe jera ache kuzini
ReplyDeleteUnajuaje kama hashiriki au kujishughulisha na kumtoa
Deletejela?tukiacha uteam nani nani,kwa kuwaona tu na kusikia mambo yao Kajala ana tabia nzuri kuliko wema ukubali ukatae ukweli utabaki palepale.SHAURI YAKO
DO NOT ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MIGHTY NOT NOTICE THE DIFFERENT
ReplyDeleteThanx.
DeleteSTAY PUT&TAKE ICE CREAM
ReplyDeleteSTAY PUT&TAKE ICE CREAM SISTER KAJALA
ReplyDeleteJamaza kimya kitendo cha kukutoa jela is enough. Mbona ndugu zako hawajakuja kukulipia? Wema ni zaidi ya ndugu yako tafuta mtu awapatanishe.kajala unamakosa
ReplyDeleteWe anonymous 6:38 PM. Acha nyege.Milioni 13 ziliktoka kwa CK. Wema alikabidhi TU. K juu.
DeleteChagua ushauri mzuri tena omba ushauri kwa watu wenye busara mimi nakushauri achana nae.
ReplyDeleteK TULIA ACHA NAYE!!!
ReplyDeleteKajala huna haya Kwa kweli! We ni mchafu.
ReplyDeleteK TULIA TULI WATACHOKA WENYEWE!!! UNAJUA NINI DEBE TU HALIACHI KUTIKA!!!
ReplyDeleteDO NOT ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MIGHTY NOT NOTICE THE DIFFERENT
ReplyDelete