Baada ya Wema Kumwaga Mboga..Kajala Ajiandaa Kumwaga Ugali Live...Kisaa....

Baada ya siku za hivi karibuni, Wema Sepetu kuamua kumwaga mboga kwa kumfungukia shosti wake wa zamani Kajala Masanja kwa kusema si rafiki mzuri na pia amefilisika, inadaiwa Kajala anajiandaa kumwaga ugali, Ijumaa limetonywa.

Rafiki wa karibu wa Kajala aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimtonya mwandishi wetu kuwa maneno anayoyatoa Wema yanamkosesha amani mwenzake na kwamba siku si nyingi Kajala naye atajibu mapigo.

“Si unajua wale wanajuana vizuri, walikuwa wanafichiana siri zao, alipofikia Wema akae mkao wa mambo yake kuanikwa, bado Kajala anatafuta ushauri wa namna ya kujibu mashambulizi, Wema kamwaga mboga, mwenzake atamwaga ugali,” kilinyetisha chanzo hicho.

Katika kujua ukweli wa ‘ubuyu’ huu, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Kajala kupitia namba yake ya mkononi lakini kila ilipopigwa haikupokelewa. Jitihada za kumtafuta zinaendelea ili ikiwezekana akimwaga ugali
GPL

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kajala NYAMAZA,achana na mambo ya kiswahili K,
    Mbona tabia yako na unavyotaka kufanya havifanani?
    Ilikuwa njema sana mlivyoachana kufatana na Wema kwa kuwa mlikuwa hamuendani kitabia.Narudia tena kusema NYAMAZA KIMYWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli mdau,nimeshakuwa jirani na Wema wakati fulani,na baadae kujikuta jirani na Kay,ni kweli kwamba ni watu wa tabia tofauti sana kiasi cha kushangaza urafiki wao.kajala mtaratibu sana huwezi kujua kama mtaani kuna staa mkubwa kama yeye,hata sisi walala hoi anakuwa peace nasi kwa kweli.mungu amjalie mema.

      Delete
  2. kwa hiyo ww unaona k ndo anatabia nzuri ee basi mushauri akamtoe mmewe jera ache kuzini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajuaje kama hashiriki au kujishughulisha na kumtoa
      jela?tukiacha uteam nani nani,kwa kuwaona tu na kusikia mambo yao Kajala ana tabia nzuri kuliko wema ukubali ukatae ukweli utabaki palepale.SHAURI YAKO

      Delete
  3. DO NOT ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MIGHTY NOT NOTICE THE DIFFERENT

    ReplyDelete
  4. STAY PUT&TAKE ICE CREAM

    ReplyDelete
  5. STAY PUT&TAKE ICE CREAM SISTER KAJALA

    ReplyDelete
  6. Jamaza kimya kitendo cha kukutoa jela is enough. Mbona ndugu zako hawajakuja kukulipia? Wema ni zaidi ya ndugu yako tafuta mtu awapatanishe.kajala unamakosa

    ReplyDelete
    Replies
    1. We anonymous 6:38 PM. Acha nyege.Milioni 13 ziliktoka kwa CK. Wema alikabidhi TU. K juu.

      Delete
  7. Chagua ushauri mzuri tena omba ushauri kwa watu wenye busara mimi nakushauri achana nae.

    ReplyDelete
  8. K TULIA ACHA NAYE!!!

    ReplyDelete
  9. Kajala huna haya Kwa kweli! We ni mchafu.

    ReplyDelete
  10. K TULIA TULI WATACHOKA WENYEWE!!! UNAJUA NINI DEBE TU HALIACHI KUTIKA!!!

    ReplyDelete
  11. DO NOT ARGUE WITH A FOOL PEOPLE MIGHTY NOT NOTICE THE DIFFERENT

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad