Breaking News: Chadema Yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani

BREAKING NEWS;
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI....
Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.
Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za kesi.
Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde.
Hongera Mwanasheria Peter Kibatala...Hongera Chadema
Haki imeshinda dhuluma

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NGOMA IKIVUMA SANA ..........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli ngoma imepesuka,lakini amini nakuambia kuna mkono wa serikali hapo.
      Tuiombee sana Tanzania,

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad