Mwanamuziki Davido Kutoka Nigeria Apata Mchumba...(He is Taken) Wink* Wink

Baada ya Mwanamuziki Maarufu Kutoka Nigeria Davido Kukaa Muda mrefu bila kuwa na Girlfriend Huku Wasichana mbali mbali Africa wakipiga chapuo kupata nafasi ya kuwa na Kijana huyo Machachari Hatimae Moyo wa Davido umeangukia kwa Msichana kutoka nchi ya Guinea ambayo anaishi Marekani Kwa Sasa..kwa takribani mwezi sasa Davido anaonekana na mrembo huyo kila kona anazoenda...Na mwenywe amepost picha ya msichana huyo kwenye instagram yake na kuandika 'SHE IS MY TRAP LET HER HIT DA BANDO!"


Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahahahhah Wapi Catherine dada yetu wa ki TZ aliyetutambulisha Davido km shemeji yetu.

    ReplyDelete
  2. Naye huyu ni walewale tu!!! Mwaka jana alikuwa na kademu kamoja kazuriii kutoka sauz africa leo hii tena kademu kutoka guinea haya sasa kina chibu wengiiii!!

    ReplyDelete
  3. WAKO WENGI KUCHAFUA TU WATOTO WA WATU KUTWA!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad