Diamond azungumzia kufanyiwa upasuaji, Ujauzito wa Zari....!

Zimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz akiwa Hospitali akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines zilizoandikwa kwamba alinusurika kukatwa mguu.

Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu, kwa sasa amepona.
Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.

Ili kuisikiliza story yote bonyeza play hapa chini…

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo demu wake anamimba ya ajabu, mbona tumbo liko flat mpka leo, ni muda gani umepita toka waitangaze? ni shidaaaa!!! hawa watu vitu vyao vingi ni feki tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyie ndo wanafiki wenyewe umemuona lini mpaka useme hivyo?????????

      Delete
  2. uhusiano wa miezi 5 na mimba juu. dogo ana alergy na condom itakuwa. hatari sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad