Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7).
Inaelekea kuna jambo haliko sawa!
Diamond Platinumz Akaliwa Kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
10
March 08, 2015
Tags
kujua kwingi,
ReplyDeleteshow off zinamponza,hawezi fanya kazi mpaka atafute kiki kwanza, mwisho wake ndo huo
ReplyDeleteUnafiki wa TRA tu. Wamewamaliza vigogo wote wasiolipa? Kuonea wanyonge tu
ReplyDeleteSidhani kama kwenye hili Diamond ana kosa lolote.Kosa hapo ni la TRA kushindwa kufanya kazi yao kwa usahihi.Hiyo barua maana yake wao (TRA) hawajamkata kodi Diamond ndo maana wameomba mikataba yake ya kipindi hicho kilichotajwa.TRA ni wazembe kwenye hili.
ReplyDeletewabongo mmezidi fitina
ReplyDeleteWadau hapo juu naona tunaongea bila uelewa wa mambo ya kodi. Hii haimaanishi kuwa hawalipi kodi, sheria iliyotajwa inamtaka mlipakodi kujikadiria mwenyewe kodi(self assessment) na maofisa wanapewa mamlaka ya kupitia usahihi wa makadirio ndani ya kipindi cha miaka mitatu kama ni kampuni na mwezi mmoja kama ni mtu binafsi (sole propriator) kama makadirio ya mlipa kodi yatakuwa pungufu kwa zaidi ya asilimia themanini adhabu mbalimbali zitachukuliwa. Hivyo kuna umuhimu wa kujikadiria sawasawa kutokana na mwenendo wa biashara yako.
ReplyDeleteMbona wakija wanamuziki wa nje hawakatwi kodi?
ReplyDeleteTRA na ufisadi, sasa wamehamia kwa mtoto wa mbwa mhh..........................
ReplyDeleteTRA WAKADAI KWANZA MABILIONI YA ESCROW
ReplyDeleteHAKUNA KITU KAMA HIVYO DIAMOND NI FAKE LETTER USIWA NA WASIWASI KAZA BUTI SONGA MBELE WENYE WIVU WAJINYONGEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDelete