Diamond Platinumz Akaliwa Kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7).
Inaelekea kuna jambo haliko sawa!

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kujua kwingi,

    ReplyDelete
  2. show off zinamponza,hawezi fanya kazi mpaka atafute kiki kwanza, mwisho wake ndo huo

    ReplyDelete
  3. Unafiki wa TRA tu. Wamewamaliza vigogo wote wasiolipa? Kuonea wanyonge tu

    ReplyDelete
  4. Sidhani kama kwenye hili Diamond ana kosa lolote.Kosa hapo ni la TRA kushindwa kufanya kazi yao kwa usahihi.Hiyo barua maana yake wao (TRA) hawajamkata kodi Diamond ndo maana wameomba mikataba yake ya kipindi hicho kilichotajwa.TRA ni wazembe kwenye hili.

    ReplyDelete
  5. Wadau hapo juu naona tunaongea bila uelewa wa mambo ya kodi. Hii haimaanishi kuwa hawalipi kodi, sheria iliyotajwa inamtaka mlipakodi kujikadiria mwenyewe kodi(self assessment) na maofisa wanapewa mamlaka ya kupitia usahihi wa makadirio ndani ya kipindi cha miaka mitatu kama ni kampuni na mwezi mmoja kama ni mtu binafsi (sole propriator) kama makadirio ya mlipa kodi yatakuwa pungufu kwa zaidi ya asilimia themanini adhabu mbalimbali zitachukuliwa. Hivyo kuna umuhimu wa kujikadiria sawasawa kutokana na mwenendo wa biashara yako.

    ReplyDelete
  6. Mbona wakija wanamuziki wa nje hawakatwi kodi?

    ReplyDelete
  7. TRA na ufisadi, sasa wamehamia kwa mtoto wa mbwa mhh..........................

    ReplyDelete
  8. TRA WAKADAI KWANZA MABILIONI YA ESCROW

    ReplyDelete
  9. HAKUNA KITU KAMA HIVYO DIAMOND NI FAKE LETTER USIWA NA WASIWASI KAZA BUTI SONGA MBELE WENYE WIVU WAJINYONGEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad