DJ Mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD Aonyesha Utajiri Wake

DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani ya 500milioni Tsh ukiwa umejengwa kwenye eneo la sqm 2000(50m x 40m).

Mbali na Mjengo huo wa hatari,JD anamiliki magari manne ikiwepo sports car yake ya zambarau inayoonekana kwa mbali kwenye picha pamoja na kampuni ya JD's Entertainment.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anapenda Sifa sana huyu DJ JD lakini kila mtu anajua ameolewa na yule dada wa BOT anaitwa Harrieth Lumbaga ndio anamuweka mjini.Hana pesa hizo..Pesa zake za Isumba yuko busy Kutombea na Kugeuza nyuma Watoto wa Watu kisha kuwakimbia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad