Edzen Jumanne Tukio la Pili Sasa Unazalilika Mwanaume Mzima, Badilika Sasa

Edzen Jumanne
Barua ya Wazi Toka kwa Mdau Kwenda kwa Edzen
Mimi ni shabiki wako mzuri sana Kutoka Mwanza ila nimesikitishwa na Video yako ukiwa uchi na unachukuliwa Video na Mdada..Tumezoea kuona wadada ndo wanachukuliwa Video ..naomba Nikuabie haya Machache labda yatasaidia ...
Juzi Juzi tulikisia Umeachwa na Aliyekuwa Mke wako Dida wa Times FM na Kufungasha virago kutoka Kwake ulipokuwa ukiishi..Mara Tukasikia Unatoka na huyu Moza ila wewe ulikataa kabisa , sasa  Video ya jana imekuumbua tena kibaya zaidi imechukuliwa upo kwake kitu ambacho kinapigilia tetesi kwamba wewe ni Marioo unaependa kulelewa na wadada wa mjini ..Kwanini usiwe na Kwako ukajilia vitu vitamu  kwako ..hawa viumbe wanaakili sana ukiwaendelekeza watakupiga Danadana mpaka utalijua jiji vizuri ...Embu Badilika Mwanaume Mzima...

By Crispa, Mwanaza

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admin huaminiki wewe!Ni ndumila kuwili!

    ReplyDelete
  2. Huyo siyo mwanaume kamilifu

    ReplyDelete
  3. ACHENI KUTUNYANYAA WANAWAKE YAANI UNASUBUTU MDAU KUSEMA KUWA UMEZOEA KUONA WANAWAKE NDO WANAPIGWA PICHA ZA UCHI SIO WANAUME ACHA UNYANYAPAA WA WAZI

    ReplyDelete
  4. Dah!! Hahahaha Jamaaa Mario kishenzi, yani hata aibu hana, jianaume zima hovyoooo.......ndio kwa maana Dida alimtoa nishai!!!!

    ReplyDelete
  5. we Edzen mbona unapenda sn kudhalilishw una matatzo gan ww! unakuw km boya khaaa!!!

    ReplyDelete
  6. mbilimbi zako zote zpo mwaaaaaaa huna k2 wala jipya

    ReplyDelete
  7. jamani mimi ezden namfahamu vizuri toka anasoma secondary shinyanga shule inaitwa UHURU SEC.
    MAMA yake ni mtu mzima na yuko vizuri kifedha kwani anamiliki tawi moja hivi la TRA huko kaskazini (kama sikosei ni MOSHI)
    Sasa huyu kaka ni bishoo tangu zamani, lakini hatua aliyofikia ni mbaya. leo nitampa ushuri wa bureeeeeeeeeeeeeeeeeee
    1. rudi nyumbani ukaelewane na wazazi na wadogo zako kwani mjini tayari umeharibu
    2.pliz nenda kaombewe, kuna roho za kulelewa zinakurfuatialia,(namkumbusha maisha yao, baba ndo anamtegemea mama), sasa karne imeharibika, nenda kaombewe hata kwa MWAKASEGE ili avunje hiyo laana, kwani unajua hali halisi ya maisha ya baba na mama yako. ukiombewa hizo laana zitaisha nawe utapata akili ya kufanya maendeleo.
    kama huamini fuatilia hata maisha ya mdogo wako sufiani ndo utajua kuna roho chafu za kutofanya maendeleo zinawakabili.
    3.ningekuwa na namba yako ningekuambia zaidi tatizo linalowasumbua. ila cha muhimu kaa chini na mama na baba yako, mtatue kwani baba yako alishawahi kumtesa mama yako ilihali hana kazi yoyote anamtgegemea yeye. please maombi ndo yatakayokutoa ktk hilo janga kaka yangu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heee! Mdau, ina maana unataka kuniambia kua hili tatizo la ezden ni tatizo la familia yao wote? Au ndio chuki binafsi hizi? Wabongo sisi kweli noma.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad